Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, amesema hakuna taarifa rasmi kwamba Makamu wa Rais, Dk. Emmanuel Nchimbi, ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM
Ndani ya chama cha mapinduzi sisi CCM hatutambuani kwa vyeo tunatambuana kwa wanachama."
"Ili uweze kuwa kada wa chama lazima uwe na kadi ya Chama cha Mapinduzi."
"Kama kuna mwanachama ameitwa kwenye maadili ni jambo la kawaida na sio jambo geni."
"Unapoitwa kwenye kamati ya maadili unakuwa una uhuru utaitwa utahojiwa... na unapewa na wewe room ya kujieleza."