Kenani Kihongosi atua Singida kuzungumza na Vijana makundi matatu

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi kuanzia leo Alhamisi na kesho Ijumaa Machi 02-03/03/2023 atakuwa mkoani Singida na kufanya matukio matatu:-

✅ Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Bodaboda na Bajaji.

✅Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Chuo cha VETA.

✅ Kukutana na kuzungumza na Viongozi wa UVCCM kata zote za Singida Mjini.

#MtumishiWaWote
#AlipoMamaVijanaTupo
#CCMImaraSerikaliImara
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KaziIendelee

393e82abae4b498b9b61093155557726.jpg
 
Huyu si ndo alizishobokea siasa za kibabe za JPM akachapa watu.?

Siasa misifa sio nzuri kwa vijana wenye safari ndefu ya kisiasa. Kuweni Wapole mkipewa fursa ya kuongeza kama MWANZA FA.

ALI API nae ni mfano wa vijana waliotumia nafasi vibaya kwa kuendekeza siasa misifa za kina JPM sasa hivi anazuga na KILIMO cha mahoho huko Instagram.
 
Kwakuwa waliofanya usichopenda wewe, ndio MAANA unalalamika. Jpm atakumbukwa na wewe adi uzao wako wotee. Ngoja shujaa kenani aendelee kuchapa kaziii huko huko singida Kwa yule Mzee wa kiki
 
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi kuanzia leo Alhamisi na kesho Ijumaa Machi 02-03/03/2023 atakuwa mkoani Singida na kufanya matukio matatu:-

✅ Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Bodaboda na Bajaji.

✅Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Chuo cha VETA.

✅ Kukutana na kuzungumza na Viongozi wa UVCCM kata zote za Singida Mjini.

#MtumishiWaWote
#AlipoMamaVijanaTupo
#CCMImaraSerikaliImara
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KaziIendelee
Singida ndiyo kwa kijana Sufian?
 
Singida imara mikononi mwa CCM
 
Sasa anataka kuwaambia nini bodaboda? Anataka kuwaongezea mpunga waachane na hiyo kazi au anaenda kuwakejeli kwamba waendeshe kwa bidii?
 
Back
Top Bottom