BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Kwakuwa waliofanya usichopenda wewe, ndio MAANA unalalamika. Jpm atakumbukwa na wewe adi uzao wako wotee. Ngoja shujaa kenani aendelee kuchapa kaziii huko huko singida Kwa yule Mzee wa kikiHuyu si ndo alizishobokea siasa za kibabe za JPM akachapa watu.?
Siasa misifa sio nzuri kwa vijana wenye safari ndefu ya kisiasa. Kuweni Wapole mkipewa fursa ya kuongeza kama MWANZA FA.
ALI API nae ni mfano wa vijana waliotumia nafasi vibaya kwa kuendekeza siasa misifa za kina JPM sasa hivi anazuga na KILIMO cha mahoho huko Instagram.
Singida ndiyo kwa kijana Sufian?Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi kuanzia leo Alhamisi na kesho Ijumaa Machi 02-03/03/2023 atakuwa mkoani Singida na kufanya matukio matatu:-
✅ Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Bodaboda na Bajaji.
✅Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Chuo cha VETA.
✅ Kukutana na kuzungumza na Viongozi wa UVCCM kata zote za Singida Mjini.
#MtumishiWaWote
#AlipoMamaVijanaTupo
#CCMImaraSerikaliImara
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KaziIendelee
Singida imara mikononi mwa CCMKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi kuanzia leo Alhamisi na kesho Ijumaa Machi 02-03/03/2023 atakuwa mkoani Singida na kufanya matukio matatu:-
✅ Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Bodaboda na Bajaji.
✅Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Chuo cha VETA.
✅ Kukutana na kuzungumza na Viongozi wa UVCCM kata zote za Singida Mjini.
#MtumishiWaWote
#AlipoMamaVijanaTupo
#CCMImaraSerikaliImara
#KulindaNaKujengaUjamaa
#KaziIendelee