Kenani Kihongosi: Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana umetoa rushwa unaondolewa

Kenani Kihongosi: Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana umetoa rushwa unaondolewa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kwani ametumwa na nani huyu kuja kuharibu chama letu?

Chama linatoa hela njenje na tunaenjoy sisi.

Chama linakubari mgombea anapewa hela na wafanya bishara ili lifanye kampeni, tena live live. Kama si rushwa ni nini hii?
 
Huyu nae siku hizi anajiharibia credibility yake tu.
Mxxxiiieeew
 
Back
Top Bottom