Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Uuze Duka ulipe Kodi yeye apate hela ya kuzurura?
"Maandamano ya kweli, watu wa Moshi, ni maandamano ya kutafuta pesa na uchumi! Andamana kuuza duka kikamilifu upate hela. Endesha bodaboda, andamana asubuhi mpaka usiku upate pesa. Andamana kulima na kufuga, uza upate pesa! Hata ukirudi nyumbani, mke wako anakupokea kwa heshima: 'Baba karibu nyumbani, mwanangu karibu nyumbani, mpenzi karibu wapi?' Nyumbani, kwa sababu umerudi na kifurushi mkononi!
Mungu amekupa maisha, yafurahie maisha yako, maisha yenyewe haya ni mafupi. Huna sababu ya kujaza machuki, kujazwa chuki. Wewe pambania maisha yako, upate uchumi, lea familia yako vizuri. Sio mnadanganywa danganywa hapa! Wanakuja watu hapa, wanakuambia, 'Kamanda! Kunja ngumi, Kamanda! Kamanda, songa mbele!' Hujajaenda mgambo unajiona kamanda? Wewe bwana wewe!
Mambo yasiyofaa nafikiri ni yale ya oct 29 na baada,ukiongeza utekaji,mauaji holela,kupotea na kesi za kisiiihasa.Tanzania bila hayo inawezekana utashi wa kisiasa ukiwepo.
"Maandamano ya kweli, watu wa Moshi, ni maandamano ya kutafuta pesa na uchumi! Andamana kuuza duka kikamilifu upate hela. Endesha bodaboda, andamana asubuhi mpaka usiku upate pesa. Andamana kulima na kufuga, uza upate pesa! Hata ukirudi nyumbani, mke wako anakupokea kwa heshima: 'Baba karibu nyumbani, mwanangu karibu nyumbani, mpenzi karibu wapi?' Nyumbani, kwa sababu umerudi na kifurushi mkononi!
Mungu amekupa maisha, yafurahie maisha yako, maisha yenyewe haya ni mafupi. Huna sababu ya kujaza machuki, kujazwa chuki. Wewe pambania maisha yako, upate uchumi, lea familia yako vizuri. Sio mnadanganywa danganywa hapa! Wanakuja watu hapa, wanakuambia, 'Kamanda! Kunja ngumi, Kamanda! Kamanda, songa mbele!' Hujajaenda mgambo unajiona kamanda? Wewe bwana wewe!
😂😂😂😂😂😂 kasema “endesha bodaboda”Uuze Duka ulipe Kodi yeye apate hela ya kuzurura?