Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amesema Wana CCM watembeeni kifua mbele, kwa kudai wanapendwa sana na Watanzania. Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Septemba 19, 2026 wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Toangoma Temeke
Soma Pia: Kenani Kihongosi: Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana umetoa rushwa unaondolewa
Soma Pia: Kenani Kihongosi: Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana umetoa rushwa unaondolewa