Kenani Kihongosi: Wana CCM tembeeni kifua mbele, Mnapendwa sana na Watanzania

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kura Milion kadhaa.
Samia ameishika nchi😹😹.

Kama mijitu mizima miongo hivi tunakoenda si utageuka Bidhaa kabisa huu uongo.
 
Huyo Kihongosi kama amesema hivyo, basi ni mwendwazimu!! WanaCCM wanapendwa na Watanzania!! Ina maana wanaCCM siyo Watanzania?
 
Kwa hiyo hao wanachama wa ccm walikuwa hawajui kama wanalendwa sana na Watanzania hadi Kihongosi akaenda kuwambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…