Kendrick Lamar amfunika Tupac

Kendrick Lamar amfunika Tupac

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo yake ukiwa na jumla ya wasikilizaji zaidi ya Milioni 647 na kua bora muda wote
Screenshot 2024-08-12 092205.png
 
Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo yake ukiwa na jumla ya wasikilizaji zaidi ya Milioni 647 na kua bora muda wote View attachment 3067539
Wakati wa Tupac hapakuwa na Youtube, hakuna wa kuvunja record halisi za Tupac.
 
Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo yake ukiwa na jumla ya wasikilizaji zaidi ya Milioni 647 na kua bora muda wote View attachment 3067539
Umeandika ujinga tu.
 
Yaani huyo amepata platforms za YouTube, itunes, insta, Whatsapp, TikTok, radios, tv nk. Ma men Pac ilikuwa ni radio na sold cassettes or CDs dadeki.
 
Daah labda Tupac wa huku kwetu mtaani yule mwamba ukisikiliza nyimbo zake leo hii tu utashangaa jinsi alivyokua anaweka vile vizazi vya dhahabu mngeviacha aisee..
Pac,Bob Marley na Jackson walikua na vipaji vya music na hata kushindanisha wanamuziki wa karne hao ndio walipitishwa..vijana wa Pac wale wakina Idd amin sijui wapo mbali kwa huyo uliemtaja..
 
Technology ilikuwepo enzi za tupac miaka 27+ iliyopita ni tofauti na sasa, sahivi platform kibao, Tupac bado ni mwamba
 
Hivi kuna diss track kama Hit em Up, na kuna mwana East Coast yeyote alikuja kuijibu hiyo track
 
Back
Top Bottom