Kendrick Lamar is overrated

Iyo album ni kali yaan ni bora mtu aseme Big Sean ni mkali kuliko Drake nitamuelewa kuliko waanze kumshindanisha Drake na Kendrick au na J Cole, Drake mwny anadikwa sn na ghostwrites
For real, with the facts and appreciation from legends pia wanaosema anaiokoa hiphop afu mtu umuunderrate inatia hasira
 
Bob no noma mzee..Nina album yake Underground Luxury.. Jamaa anajua kazi take..now naona anajichanganya na masuala ya imani..kama kadata hivi..mawazo yako na yangu hayajapisha sana..Kendrick was zama zile kabla ya Top Dawg Entertainment.. Alikua anachana had I nashangaa..but wa sasa ooh God..zamani nimemskilza sana..tangu Cypher yake ya kwanza..
 
Dah Bob nlitaka kuuliza yukwapi yan jamaa dah...
 
B.o.b yupo kwenye campaign kaanzisha inaitwa Bob earth is flat...anakusanya hela arushe sattelite Ku prove dunia tambarare..I think a nigga smoke what i sell
 
BOB kama kadata namchekigi insta nachekaga sana ila ni mmoja wa rapper wakali hadi leo bado naisikilizaga album yke ya strange clouds
 
Watumia auto tunes, T Pain, Lil Wayne, Future kwa kipindi kile ndiyo walisababisha Nas aseme hip hop is dead. Traditional hip hop ilikua inaenda omega sasa hivi wameibuka kina Desiigner, Migos, Travis, Lil Uzi wanazidi kuwakera wakongwe.
Game ime change, now mziki biashara kaka.
 
sisi watu wa generation ya makundi maarufu kama EPMD na daz EFX wakitamba na pini lao lisilo chuja la real hip hop acha tu tupite kimya kimya.

thread kama hizi wahenga huwa tunapenda kuwa wasomaji.

Umenikumbusha mbali sana vijana wa sasa hawawajui hao watu
 
lil pump nachompendea nyimbo ya kijinga ila hit
 
lil pump nachompendea nyimbo ya kijinga ila hit
Ndio ujanja huo..soldier boy alimwambia Lupe fiasco kua hashindwi kuandika meaningful song like Lupe's song's.. But hawezi kupoteza muda huo..yy anataka kutoa ngoma Kali tuuu..beat Kali..catch up hook..mistari 8 unarudia rudia tu Gucci gang Gucci gang Gucci gang skriiiiii skrii hah inatosha..
 
kaka kendrick lamar is so overrated unajua kuna watu wameshika industry ya music yaani lazima upate tuzo au audience ila kwa kizazi chetu hakuna kama Jcole ndio maana wanamuita the therapoist jamaa anajua kama messi vile sema kama unavvojua marekani ili utoke lazima uime about money and girls ila jamaa yeye yupo real sio fake anajua mpaka anabore
 
Best rapper alive Eminem lilwayne,meekmill
 
Watumia auto tunes, T Pain, Lil Wayne, Future kwa kipindi kile ndiyo walisababisha Nas aseme hip hop is dead. Traditional hip hop ilikua inaenda omega sasa hivi wameibuka kina Desiigner, Migos, Travis, Lil Uzi wanazidi kuwakera wakongwe.
Nas sijui atakuwa na maoni gani sasa hivi cause that hip hop haikuwa imekufa ila now ndio imekata ringi mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…