J Cole namuelewa sana kuanzia Friday night lights, Cole World the sideline story, Born sinner, 2014 Forest hill drive (best album yng toka kwake) hadi 4 Your Eyez Only hajawahi niangusha huyu ndo best rapper na namba one hip hop favorite artist wng mwezi ujao anatimba Nigeria ningekuwa namavumba ningeenda kumuona. Huyu jamaa hapendi kucheza na media wala mitandao km Drake au Kendrick yeye akija kwny media kaja kuachia kazi basi halafu anapotea mauzo yanaongea bila kiki
Drake mara ya mwisho kumfeel ilikuwa kwny album ya nothing was the same yaan ukickiliza iyo album na ukirudi kusikiliza Take Care uwezi kupeleka nyimbo mbele tofauti na izo more life, views zpo so local , if you're reading this It's too late sijawahi isikiliza ila izo zingine ninazo. Huyu jamaa anabebwa sn na media ila sio mkali sn kingine nimesoma hana tabia ya kuwatumia wasanii wa afrika kwa faida zke mwenywe reference kwa wiz kid.
Kendrick yupo vizuri uwezi mlinganisha na Drake ni bora umuweke kundi moja na J Cole.
Kendrick wa sasa sio km wa zamani uliokuwa unamsikiliza kwny mixtape zke km C4 kule jamaa alikuwa anakaza yaan anarap ile hadi misuli inatoka kichwani album zke nilizosikiliza ni Good kid maad city hadi leo hii album bado naisikikiza, Too Pimp a butterfly hii album imekaa kigumu gumu ukickiliza juu juu huwezi kuielewa na hii ya mwaka jana Damn ipo vizuri sana kila rika inaweza kuickiliza na kuielewa.
Top 5 yng
1.J Cole.
2.Kendrick
3 .Eminem
4.Jay Z
5.Kanye West
BOB na Macklemore pia naupendaga kuwasikiliza