BOB alikuwa anachana sana yule Jamaa ashhhhhhh ile ngoma yake ya airplane ilikuwa ninyimbo yangu bora ya mwaka kipindi Kile ilivyotoka ..Jamaa anabadili flow huku anaimba ana rap kwa speed kama anatoa melody vile ...Jamaa ni genius aiseeBob no noma mzee..Nina album yake Underground Luxury.. Jamaa anajua kazi take..now naona anajichanganya na masuala ya imani..kama kadata hivi..mawazo yako na yangu hayajapisha sana..Kendrick was zama zile kabla ya Top Dawg Entertainment.. Alikua anachana had I nashangaa..but wa sasa ooh God..zamani nimemskilza sana..tangu Cypher yake ya kwanza..
BOB alikuwa anachana sana yule Jamaa ashhhhhhh ile ngoma yake ya airplane ilikuwa ninyimbo yangu bora ya mwaka kipindi Kile ilivyotoka ..Jamaa anabadili flow huku anaimba ana rap kwa speed kama anatoa melody vile ...Jamaa ni genius aisee
Dah waliotajwa wote hapo hata kumfikia laurny hill hakunna hata mmoja sijamuona hapo hiphop was ninety huko kwa sasa hawa magasho hakuna hata mmoja namuelewasisi watu wa generation ya makundi maarufu kama EPMD na daz EFX wakitamba na pini lao lisilo chuja la real hip hop acha tu tupite kimya kimya.
thread kama hizi wahenga huwa tunapenda kuwa wasomaji.
Siyo wa hawa kurap kama wamebemendwa ufananishe na hao manundahaha daz EFX walikua vizuri but now mziki upo tofauti Sana..ume change..
wewe ulikuwa una matatizo ulikuwa humpendi yule baba wa lyrics ..aiseee ile ngoma yake yake ya changes ni balaaa..kama ulikuwa umekata tamaa lazima unyanyuke tenaTupac nilikuwa simpendi ila kuna siku nikasema ngoja nisikilize nyimbo zake
Aiseee baada ya kusililiza
Califonia love
Changes
Dear Mama
wallah nikapiga salute kudadek
aiseee ...kumbeKinachomponza B.O.B ni misimamo ambayo ipo kinyume na system.......NEVER LIKE THE SYSTEM [emoji123].............
me naipenda John doeBOB alikuwa anachana sana yule Jamaa ashhhhhhh ile ngoma yake ya airplane ilikuwa ninyimbo yangu bora ya mwaka kipindi Kile ilivyotoka ..Jamaa anabadili flow huku anaimba ana rap kwa speed kama anatoa melody vile ...Jamaa ni genius aisee
hii bro tunaita emotional piano rap..iko poa but alietengeneza Ni mwanafunzi..bado hajajua kuchagua drums nzuri...eti jamani wadau mnaweza niambia wht type of music genre is this beat belong to kuna mtu ananidanganya afu asubuhi kabisa
yes thats true mimi mwenyewe nimemwambia the same this is melodic beat you can sing and rap on ithii bro tunaita emotional piano rap..iko poa but alietengeneza Ni mwanafunzi..bado hajajua kuchagua drums nzuri...
ni ngoma Kali mnoo piame naipenda John doe
DEVILAlmost kila mwana Hip Hop huanza vizuri akiwa na misismamo yake binafsi lakini anapofikia level ya juu huwa chini ya watu kwa hiyo mambo mengi anayoyafanya yanakuwa yanakwenda kimikataba.Tusilaumu kubadilika kwao kwa sababu wao pia huangalia mustakabari wa maisha yao.SOMETIMES THEY MUST SELL THEIR SOUL TO THE......