[QUOT lipo E="Cham Bee, post: 26074895, member: 273095"]Kendrick amepunguza mismamo kutokana na maelekezo anayopata kutoka kwa mabosi zake ndio maana hawezi kuwa sawa na yule wa Section 8 or Mad City nk.Huu muziki una wenyewe jamani ndio maana hata Big notorious na 2Pac walikuwa wakisugua na wenye muziki baada ya kuambiwa wapunguze ujuaji na viburi.Unapokuwa chini huwa ni rahisi sana kufanya kile unachokitaka lakini ukifika juu utaanza kufanya kile ambacho mabosi wanataka kulingana na soko.Underground wengi huwa wanapendwa na mtaa kwa faida ndogo au bila faida lakini wakifika kwenye main stream huwa wanapigiwa hesabu za kufaidika na kufaidisha watu.BITCH DON KILL MY VIBES..............[/QUOTE]
game lipo hvyo..mixtape rappers wanafanya kweli tofauti na album..ukiwa label unachaguliwa beats,artist WA Ku collab with,.na topic..