Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
- Thread starter
-
- #141
Yas bro kendrick mkali but sio kwa j coleJcole is the real deal at the moment...lyrically..flow...amemwacha mbali kdot..sema system ya mziki the whole world is fucked up
Yeah bro.Mzee hiyo tafsiri ya kweli ?
Poa poaYeah bro.
duh kumtomkubali Kendrick imekua dhambi..Jinai,na matusi juu..huo ni mtazamo wangu binafsi...pia I don't fancy matusi..shusha pointsKama unasema Drake, ASAP Rock,Big Sean na Pusha T ni zaidi ya Kendrick wewe ni zaidi ya MWEHU...
Unastahili kupuuzwa kama wapuuzi wengine..!
Jinga kabisa..!!!
Mpuuzi kama wewe ni wakujibiwa kipuuzi..!!!duh kumtomkubali Kendrick imekua dhambi..Jinai,na matusi juu..huo ni mtazamo wangu binafsi...pia I don't fancy matusi..shusha points
GUCCI GANG GUCCI GANGlil pump nachompendea nyimbo ya kijinga ila hit
Akili zako ndogo..ngoja ninyamaze..Mpuuzi kama wewe ni wakujibiwa kipuuzi..!!!
Kendrick anajua na sio kama wanampendelea..anastahili tuzo..but u know what..hizi flow zake za Siku hizi sipendi..I love the old Kendrick.. And kwenye rap kwanza navutiwa na Flow.. Second Beat Kali..third mistari..drake bila Shebib Noah,40.na boi 1da..hana muziki wa kutisha kabisa...All the stars..well hii track is an emblem..anyways
Dogo.nadhan we ni kizaz kipya ambae bahat mbaya umezaliwa na kuanza skia rappers wana autotune saut zao..tuyaache hayo
Hyu dogo kendrick anajarib kuwarudisha watu kwenye real game ndomana unaona hata kina jay z wanasema huyu dogo anajua..
Halaf nkwambie kitu,.ukiona dogo anachkua matuzo etc anawaacha wengne ujui dogo yuko vzur,zile panels na ma judge wanaoshuhulika na hzo tuzo ni werev sana,sio kama panels za bongo kuangalia majina,mbele ukiona mtu tena rapper anakomba grammys namna ile inabid uogope
Ni hayo tu
Hahaha Six whatsup..Ovo for lifeShe say, "Do you love me?" I tell her, "Only partly"
I only love my bed and my momma, I'm sorry
Fifty dub, I even got it tatted on me
81, they'll bring the crashers to the party
And you know me
Turn the O2 into the O3, dog
Without 40, Oli', there would be no me
Imagine if I never met the broskies
GUCCI GANG GUCCI GANG
Had trump anamsikiliza huyo dogo?
Shabiki mkubwa wa J.cole hapa ila nina heshima kubwa kwa K.dot japo vilevile mm ni mmojawapo wa wanaoamini jamaa watu wengi wanamrate kupita kiasi.
Ukiniambia niwaweke kirank Top 5 yangu itakuwa hivi
1.Kendrick Lamar
2.J.cole
3.Akuna mtu
4.Akuna mtu
5.Akuna mtu