Kendrick Lamar is overrated

Kendrick Lamar is overrated

Shabiki mkubwa wa J.cole hapa ila nina heshima kubwa kwa K.dot japo vilevile mm ni mmojawapo wa wanaoamini jamaa watu wengi wanamrate kupita kiasi.

Ukiniambia niwaweke kirank Top 5 yangu itakuwa hivi
1.Kendrick Lamar
2.J.cole
3.Akuna mtu
4.Akuna mtu
5.Akuna mtu
 
Kama unasema Drake, ASAP Rock,Big Sean na Pusha T ni zaidi ya Kendrick wewe ni zaidi ya MWEHU...
Unastahili kupuuzwa kama wapuuzi wengine..!
Jinga kabisa..!!!
 
Uache kumfananisha Kendrick na UPUUZI...
Ungekua karibu ningekuwasha hata makofi..!
 
Kama unasema Drake, ASAP Rock,Big Sean na Pusha T ni zaidi ya Kendrick wewe ni zaidi ya MWEHU...
Unastahili kupuuzwa kama wapuuzi wengine..!
Jinga kabisa..!!!
duh kumtomkubali Kendrick imekua dhambi..Jinai,na matusi juu..huo ni mtazamo wangu binafsi...pia I don't fancy matusi..shusha points
 
Naona huu uzi umekosa wachangiaji wa kike, anyway to the point aise kendrick ni hatari sana anaweza simama na na any rapper na akavunja. Na cole ni only competition kwa kendrick nikisikiliza forest hill drive na good kid maad city huwa nashindwa kujua ipi album kali zaidi na huwa sitamani uchafu mwingine, Drake atakufa hajatengeneza album kali kuzidi hizi mbili
 
All the stars..well hii track is an emblem..anyways

Dogo.nadhan we ni kizaz kipya ambae bahat mbaya umezaliwa na kuanza skia rappers wana autotune saut zao..tuyaache hayo

Hyu dogo kendrick anajarib kuwarudisha watu kwenye real game ndomana unaona hata kina jay z wanasema huyu dogo anajua..

Halaf nkwambie kitu,.ukiona dogo anachkua matuzo etc anawaacha wengne ujui dogo yuko vzur,zile panels na ma judge wanaoshuhulika na hzo tuzo ni werev sana,sio kama panels za bongo kuangalia majina,mbele ukiona mtu tena rapper anakomba grammys namna ile inabid uogope

Ni hayo tu
 
Niko nje ya mada kidogo nikitaka kupat full album kwa kudowload niingie sit ipi!natanguliza shukrani
 
lil pump nachompendea nyimbo ya kijinga ila hit
GUCCI GANG GUCCI GANG
images
 
She say, "Do you love me?" I tell her, "Only partly"
I only love my bed and my momma, I'm sorry
Fifty dub, I even got it tatted on me
81, they'll bring the crashers to the party
And you know me
Turn the O2 into the O3, dog
Without 40, Oli', there would be no me
Imagine if I never met the broskies
 
All the stars..well hii track is an emblem..anyways

Dogo.nadhan we ni kizaz kipya ambae bahat mbaya umezaliwa na kuanza skia rappers wana autotune saut zao..tuyaache hayo

Hyu dogo kendrick anajarib kuwarudisha watu kwenye real game ndomana unaona hata kina jay z wanasema huyu dogo anajua..

Halaf nkwambie kitu,.ukiona dogo anachkua matuzo etc anawaacha wengne ujui dogo yuko vzur,zile panels na ma judge wanaoshuhulika na hzo tuzo ni werev sana,sio kama panels za bongo kuangalia majina,mbele ukiona mtu tena rapper anakomba grammys namna ile inabid uogope

Ni hayo tu
Kendrick anajua na sio kama wanampendelea..anastahili tuzo..but u know what..hizi flow zake za Siku hizi sipendi..I love the old Kendrick.. And kwenye rap kwanza navutiwa na Flow.. Second Beat Kali..third mistari..drake bila Shebib Noah,40.na boi 1da..hana muziki wa kutisha kabisa...
 
She say, "Do you love me?" I tell her, "Only partly"
I only love my bed and my momma, I'm sorry
Fifty dub, I even got it tatted on me
81, they'll bring the crashers to the party
And you know me
Turn the O2 into the O3, dog
Without 40, Oli', there would be no me
Imagine if I never met the broskies
Hahaha Six whatsup..Ovo for life
 
Shabiki mkubwa wa J.cole hapa ila nina heshima kubwa kwa K.dot japo vilevile mm ni mmojawapo wa wanaoamini jamaa watu wengi wanamrate kupita kiasi.

Ukiniambia niwaweke kirank Top 5 yangu itakuwa hivi
1.Kendrick Lamar
2.J.cole
3.Akuna mtu
4.Akuna mtu
5.Akuna mtu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....POSITIVE ATRACTION...
 
Back
Top Bottom