Habari za mda huu,
Wapenzi wa team za kariakoo, msiumie leo nipo kumsifia kiungo wa dimba la chini wa Azam mzee wa one Touch
Na ma shoot ya mbali aisee Kenneth Mguna ni controller wa mechi. Anacheza uku anaelekeza!
1. Vision
2.Disguess passes
3 Flexibility
4.sharpness
5.Intelligence
Hizo ni siLaha kubwa 5 za uyu kiungo ni matusi sana mtu ana Kanoute anatakashindana na mtu ana MGUNA.
View attachment 2470325
anatakiwa akabe, sio kukabwa. Kwa hiyo wewe ndio uonyeshe picha akikabaBoss onyesha picha mguna akiwa amekabwa
Sawa, sijui wewe usiyekariri maisha unataka kazi ya kiungo mkabaji iwe ni ipi kama mbadala wa kukabakabaSio kiungo no 6 anakaba kabata tu usikariri maisha
Aisee! Kumbe Kanoute huwa hashambulii, anabaki nyuma amesimama!Kama team haishambuliwi asimame kama kanoute?
Hao unaosema mauchafu ndio waliopigania nafasi ya wewe kupata ushiriki CAFCC japo ulitolewa kwa aibu na wao wako group stageMagori hayataisha ila sio kwakufungwa na
Simba
Tunae Mwaikenda Best number mbili ww endeleea kukuaa na mauchafu tuliyoyatupa Azam
1.bocco 2.Nyoni 3.Manura 4.Kapombe
Hayo yote mauchafu tuliwaachia na limoja mkaona aibu mkauza wawa