Keneth Mguna, Soft talented modern midfielder

Keneth Mguna, Soft talented modern midfielder

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za mda huu,

Wapenzi wa team za kariakoo, msiumie leo nipo kumsifia kiungo wa dimba la chini wa Azam mzee wa one Touch
Na ma shoot ya mbali aisee Kenneth Mguna ni controller wa mechi. Anacheza uku anaelekeza!
1. Vision
2.Disguess passes
3 Flexibility
4.sharpness
5.Intelligence

Hizo ni siLaha kubwa 5 za uyu kiungo ni matusi sana mtu ana Kanoute anatakashindana na mtu ana MGUNA.

d580de98bb48bc300bad69ae63885ee5.jpg
 
Upuuzi mtupu~hana madhara yoyote akiwepo,asipokuwepo huo tofauti yoyote,alafu hawa Azam hawana beki wa kati huyo Manyama atawafikisha nafasi ya tano
 
Dah mchang'ombeeeeee.Kanoute anakaba wakwako anafanya uliyoeleza ni majukumu.
 
Habari za mda huu,

Wapenzi wa team za kariakoo, msiumie leo nipo kumsifia kiungo wa dimba la chini wa Azam mzee wa one Touch
Na ma shoot ya mbali aisee Kenneth Mguna ni controller wa mechi. Anacheza uku anaelekeza!
1. Vision
2.Disguess passes
3 Flexibility
4.sharpness
5.Intelligence

Hizo ni siLaha kubwa 5 za uyu kiungo ni matusi sana mtu ana Kanoute anatakashindana na mtu ana MGUNA.

View attachment 2470325

Subiri umuone Issa Ndala ndo utajua hujui
 
Hakuna lolote,huyo Mkenya wala Manyama ni wachezaji wa kawaida mno wewe shupaza shingo na ujidanganye kwamba na hao
 
Nimemfuatilia huyu muguna ukweli anamapungufu mengi sana, mfano mzuri mechi ya Mapinduzi Cup siku ya Jana. Anachelewa sana kutoa mpira na kuishia kukabwa kwa urahisi sana.

Ni kiungo ambae hasababishi madhara au hatari yoyote ya goli bali yeye anasambaza mipira maeneo salama tu. Lugha ya kigeni wanaita (square pass) ni kama kipindi cha nyuma Feisal alivokua akilalamikiwa kua pasi zake hazina madhara pamoja na kwamba ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa.

Muguna hana uwezo wa kumpita mchezaji mmoja au wawili anapokua na mpira. Kwa kawaida ili kiungo asababishe hatari anatakiwa awe na uwezo wa kufinya angalau wachezaji wawili au mmoja ili aweze kutengeneza nafasi nzuri kwa mshambuliaji kufunga au kutengeneza hatari.

Muguna ana basics tu za mpira ila kama Azam wanahitaji mafanikio basi wanaitaji kiungo mnyumbulifu lakini zaidi awe mbunifu zaidi ila kwa aina ya uchezaji ya Muguna sidhani kama itawanufaisha kwa namna yoyote.
 
Hana sifa za kulinganishwa na Puti wala Mzamiru ila kwa katimu kama hako atacheza na utamuona star
 
Panga pangua ya Kenya ndio ikuzuzue narudia tena mchezaji wa kawaida sana kama alivyo Manyama, eti difenda wa kati left footer magoli hayataisha,
 
Wewe hamnazo miaka 6 Azam hakuwahi kupata ushindi kwa Simba zaidi ya sare 3,mpaka mwaka jana walipopata ushindi wa 1 bila na unajua Simba haikuwa na full kikosi,raundi ya pili sio mbali
 
Shida yako unajaza maandishi ya ujingaujinga;SIMBA IPO GRUPU STAGE CAF USIPOTEZE MUDA WA WATU BURE,Azam hawawezi na hawatakuwa mabingwa TZ zaid ya mara 1 waliobahatisha,hao wachezaji wako wasifie mapinduz inakutosha,huyo Muguna hana cha ziada mara 1000 KEVIN NASHON WA GEITA anaweza kuwasaidia lambalamba
 
Magori hayataisha ila sio kwakufungwa na
Simba

Tunae Mwaikenda Best number mbili ww endeleea kukuaa na mauchafu tuliyoyatupa Azam
1.bocco 2.Nyoni 3.Manura 4.Kapombe


Hayo yote mauchafu tuliwaachia na limoja mkaona aibu mkauza wawa
Hao unaosema mauchafu ndio waliopigania nafasi ya wewe kupata ushiriki CAFCC japo ulitolewa kwa aibu na wao wako group stage

Kiufupi, sio kila kitu uponde kisa sio chako,

huyo boko unayemsema ulimtema akiwa uchafu ndio alikuwa top scorer mfululizo akiwa simba

huyo mauchafuanura ndio alikuwa golikipa bora mara nne mfululizo akiwa simba na mpk leo ndio tz one sasa sijui uchafu gani huo

Jaribu kufanya football analysis na sio mahababall analysis
 
Back
Top Bottom