Keneth Nollo: Serikali ifute ada Vyuo Vikuu

Keneth Nollo: Serikali ifute ada Vyuo Vikuu

Huwa nakasirika sana nikiona watu wakiichukulia America kama a model country,it is not.America is modelled on Satanic principles:survival for the fittest,hakuna utu America mkuu,everybody fends for himself.

Labda ulikuwa hujui ,America sio Republic as made people are made to believe,it is a corporation or if you like a private company.Sasa a private company au corporation ikulipie ada ya Chuo,hiyo kampuni inapata faida gani.Kama wewe ni a small
mind,naamini hutanielewa,but those are the facts.America is not what you think it is.
Jamaa kaamua kujizima data kisa yeye na familia yake kabahatika kuwa na kauwezo, mbona hatoai mfano wa Norway ambako elimu ni bure hadi chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom