KenGen yapewa Kandarasi ya $77 Million kuchimba visima vya mvuke wa Umeme (Geothermal) kule Ethiopia

Kengen hii hii? Angalieni Ethiopia hawana msalie mtume mnaweza kukatwa maskio mkiboronga ! 😅🙈👏
 
Kuna siri gani kwenye kufungua cover la engine ya ndege? Sababu picture inaonesha tu mafundi wamefungua "bonnet" ya engine end of story.

Hiyo kampuni iliyogonga nilisoma eti hawajawa qualified ndio maana mlificha.
 
Duh sio kwa hayo mabilioni, Ethiopia tukikaa nao vizuri ni pazuri sana kwa deals.
Tanzania pazuri zaidi kwa dili indo power imevuta dili dola 180 milioni bila jasho😂
 
Tanzania pazuri zaidi kwa dili indo power imevuta dili dola 180 milioni bila jasho😂

Ndio hivyo hivyo kote kote tunazagaa, ila Bongo lazima uwe makini maana wapigaji na makajanja mpo wengi, muwekezaji akijichanganya ataishia kurudi kwao akilia kilio cha jehanam.
 
Hivi dili yenye pesa ndefu ambayo tumewahi kupata Bongo ni kiasi gani maana naona Ethiopia tunaingia na kichwa.
 
Hivi dili yenye pesa ndefu ambayo tumewahi kupata Bongo ni kiasi gani maana naona Ethiopia tunaingia na kichwa.

Dili ya korosho inakaribia mara tatu deal ya consortium ya reputable kengen na Chinise firm Ethiopia.
 
Hii hii KENGEN itapewa kandarasi hapo Tz...tic toc.
 
Hii hii KENGEN itapewa kandarasi hapo Tz...tic toc.
Indeed...

Rwanda has once gain sought Kenya’s expertise in geothermal energy exploration after its drilling of two wells in 2015 failed.
Kigali has now sought consultancy services from Geothermal Development Company (GDC) scientists and engineers, opening up revenue stream for the Kenyan government-owned company that earned Sh11.9 million from consultancy to regional economies in 2015/16 financial year. “We are offering scientific and technical support based on our success in geothermal development,” said Paul Ngugi, a manager at GDC.
READ: Geothermal firm to roll out Sh9bn power plant
Rwanda has resumed exploration studies for geothermal, having taken a break after two wells sunk in 2015 yielded no team.
Kenya is ranked the ninth largest producer of geothermal electricity in the world and the leader in Africa with a capacity of 630 megawatts, according to Renewables Global Status report 2017.
Mr Ngugi said Ethiopia, Tanzania and Djibouti, which share geothermal belt of the Great Rift Valley with Kenya have in recent years sought GDC’s expertise and equipment.
Rwanda turns to Kenya again for geothermal skills
 
picha iko wapi mkuu nicheke balaa.jama walicheka yetu

Naona wameifuta kabisa kwenye mitandao, haipo yaani walificha balaa na ndio unaona wanatokwa povu maana walishtukiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…