Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
Good
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siri gani kwenye kufungua cover la engine ya ndege? Sababu picture inaonesha tu mafundi wamefungua "bonnet" ya engine end of story.
Tanzania pazuri zaidi kwa dili indo power imevuta dili dola 180 milioni bila jasho😂Duh sio kwa hayo mabilioni, Ethiopia tukikaa nao vizuri ni pazuri sana kwa deals.
Tanzania pazuri zaidi kwa dili indo power imevuta dili dola 180 milioni bila jasho😂
Hivi dili yenye pesa ndefu ambayo tumewahi kupata Bongo ni kiasi gani maana naona Ethiopia tunaingia na kichwa.
Hivi dili yenye pesa ndefu ambayo tumewahi kupata Bongo ni kiasi gani maana naona Ethiopia tunaingia na kichwa.
Hii ndio company unayosema haipo qualified?Hiyo kampuni iliyogonga nilisoma eti hawajawa qualified ndio maana mlificha.
Indeed...Hii hii KENGEN itapewa kandarasi hapo Tz...tic toc.
picha iko wapi mkuu nicheke balaa.jama walicheka yetuPoleni niliona picha kwenye mitandao, ila jamaa walitaka kuficha.
picha iko wapi mkuu nicheke balaa.jama walicheka yetu