The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
- Thread starter
-
- #21
Kweli kabisa hilo linaweza kusaidia kwa namna moja au nyingineMaendeleo ni hatua ila vile wameanzia championship hadi kuwa mabingwa walipaswa kuwa na brand yao hata ndogo TU ya kujiuzia jersey
Ukweli nilifurahi sana juzi tunacheza na Guinea na Uzi wa sandaland huku guinea wakiwa na puma na wetu bado kuonekana mzuri zaidi na Hawa wanaweza muomba sandaland au GSM awazalishie jersey
TFF wafanye je?Ndani ya ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika , vilabu vinaokoteza jezi. Shame on us TFF hawaoni hata hivi vitu vidogo vidogo
Zoa zoa
Ngoja tuwachekiMuda huu kwenye kipyenga extra ya EATV Naona wanaongelea hii ishu ya jezi na msemaji wa timu anajibu hayo maswali
ALERT!
Mwanzo mgumuALERT!
Afisa habari wa KENGOLD katoa ufafanuzi wa kilichotokea jana kuhusu matumizi ya Brand mbili (NIKE na PUMA) huku sababu kuu ikiwa ni kutokana na kuchelewa kufika kwa jezi zao walizoagiza kutoka CHINA .
Jezi zimefika jana jijini MBEYA pia sababu saidizi ni kuwa walikuaa na pensi zao nyeusi lakini sheria hairuhusu kuvaa jezi zinazofana ndani ya mechi moja baina ya timu mbili hivyo ikapelekea kuwaomba wenyeji wao FOUNTAIN GATE FC kubadili jezi hasa upande wa pensi ili wao watumie nyeusi lakini walikataa , hali iliyowafanya wao kuingia katikati ya maduka ya Mjini BABATI kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata pensi za idadi ya pensi 20 lakini wakabahatika kupata pensi za kijani za NIKE hivyo ikawalazimu kuzitumia hivyo hivyo.
Cha kuwapa moyo wanambeya ni kuwa jezi zimeshafika MBEYA ila zinasubiri tu kutambulishwa kwa mujibu wa Afisa habari.
Uzembe tu.ALERT!

Yeah ngoja waizoee ligi kidogoMwanzo mgumu
Na uzembe pia umechangia maana ni muda sasa umepita tangu wajue kuwa wamepanda ligi kuu na jezi mpya zinahitajikaUzembe tu.