KeNHA to construct a bridge across Makupa causeway in Mombasa.

Hivi kwann hukusoma high school? Au ulifeli vibaya sababu ya uwezo mdogo, unaandika pumba tu since day 1
Ni wapi nimekosea Babaa au ni wapi nimedanganya ukaumia hivi???
Strugglers gorge iko wapi?
Kinyerezi iko wapi?
SGR Morogoro wapi?
Kibaha mini Highway wapi?
Koroshow wakulima walilipwa?
ATCL Guangzhou, Mumbai (hamjarudi tangu uzinduzi)?
Bagamoyo Port iko wapi?
Viwonders viko wapi hata vya pipi au kukamulia juisi?

Wapi nimedanganya???
See your life now 😂😂😂
 
Tuta tuta tuta tuta... tutajenga Bagamoyo, tutajenga SGR Hadi Mwanza na ya hadi Moro imetushinda, tutajenga Kibaha highway ishindane na Outering Road ya Manyang'au, tutauza Koroshow...tuta- tuta- tuta-
Endeleeni na tuta- sisi tunawatandika ki-harambee Stars.
 
KISWAHILI. Zenu. Au zenyu? Tafadhali nifàhamishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…