mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Ni wapi nimekosea Babaa au ni wapi nimedanganya ukaumia hivi???Hivi kwann hukusoma high school? Au ulifeli vibaya sababu ya uwezo mdogo, unaandika pumba tu since day 1
Strugglers gorge iko wapi?
Kinyerezi iko wapi?
SGR Morogoro wapi?
Kibaha mini Highway wapi?
Koroshow wakulima walilipwa?
ATCL Guangzhou, Mumbai (hamjarudi tangu uzinduzi)?
Bagamoyo Port iko wapi?
Viwonders viko wapi hata vya pipi au kukamulia juisi?
Wapi nimedanganya???
See your life now 😂😂😂