Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Zamani bongo kulikuwaga na Chick King....early 90s. Nakumbuka walikuwa wanauza KFC inspired chicken. Sina hakika kama walikuwa na (ni) franchise.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewahi kusikia ilikuwa ni subsidiary ya KFCZamani bongo kulikuwaga na Chick King....early 90s. Nakumbuka walikuwa wanauza KFC inspired chicken. Sina hakika kama walikuwa na (ni) franchise.
Mbona hawaji bongo?
Who knows may be KFC wanaweza ku-improvise baadhi ya vitu vyao kuendana na mazingira ya soko husika, usishangae wakaongezea kwenye menu yao firigisi na chipsi dume/vumbi ili kuwapata wateja wengiMnavyopenda kula chips za vichochoroni za mia mbili mtamudu kununua fast food za KFC?