Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Aug 13, 2011 #41 Zamani bongo kulikuwaga na Chick King....early 90s. Nakumbuka walikuwa wanauza KFC inspired chicken. Sina hakika kama walikuwa na (ni) franchise.
Zamani bongo kulikuwaga na Chick King....early 90s. Nakumbuka walikuwa wanauza KFC inspired chicken. Sina hakika kama walikuwa na (ni) franchise.
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,919 Aug 13, 2011 #42 Nyani Ngabu said: Zamani bongo kulikuwaga na Chick King....early 90s. Nakumbuka walikuwa wanauza KFC inspired chicken. Sina hakika kama walikuwa na (ni) franchise. Click to expand... Nimewahi kusikia ilikuwa ni subsidiary ya KFC
Nyani Ngabu said: Zamani bongo kulikuwaga na Chick King....early 90s. Nakumbuka walikuwa wanauza KFC inspired chicken. Sina hakika kama walikuwa na (ni) franchise. Click to expand... Nimewahi kusikia ilikuwa ni subsidiary ya KFC
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Aug 13, 2011 #43 Rejao said: Mbona hawaji bongo? Click to expand... Mnavyopenda kula chips za vichochoroni za mia mbili mtamudu kununua fast food za KFC?
Rejao said: Mbona hawaji bongo? Click to expand... Mnavyopenda kula chips za vichochoroni za mia mbili mtamudu kununua fast food za KFC?
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,919 Aug 13, 2011 #44 Kinyungu said: Mnavyopenda kula chips za vichochoroni za mia mbili mtamudu kununua fast food za KFC? Click to expand... Who knows may be KFC wanaweza ku-improvise baadhi ya vitu vyao kuendana na mazingira ya soko husika, usishangae wakaongezea kwenye menu yao firigisi na chipsi dume/vumbi ili kuwapata wateja wengi
Kinyungu said: Mnavyopenda kula chips za vichochoroni za mia mbili mtamudu kununua fast food za KFC? Click to expand... Who knows may be KFC wanaweza ku-improvise baadhi ya vitu vyao kuendana na mazingira ya soko husika, usishangae wakaongezea kwenye menu yao firigisi na chipsi dume/vumbi ili kuwapata wateja wengi