Kenya 7s maul Uganda to punch Tokyo 2020 Olympics ticket

Kenya 7s maul Uganda to punch Tokyo 2020 Olympics ticket

Kenya Sevens Nelson Oyoo (second right) is tackled by a Senegalese player during their Africa qualifier for the 2020 Tokyo Olympic Games at Bosman Stadium, Johannesburg on November 8, 2019. Kenya won 50-0. PHOTO | RUGBY AFRIQUE

Kenya Sevens Saturday qualified for the Tokyo 2020 Olympics after a 29-0 win over Uganda in the final of the Africa qualifier at Bosman Stadium, Johannesburg.
More to follow...

Yeeeeeei Im late to this party!!! Congratulations shujaa!!!
 
Wacha zako, lete orodha ya hiyo kikosi utapata waluhya wengi humo. Hata all best try scorer sio jaluo. Tukisema mbio mnasema wakalenjin, tukisema raga mnasema ooh wajaluo. Na volleyball mtasema nini?, hujaweka kandanda ya akina dada. Mbona kusitokee hata angalau kabila moja kutoka huko inawiri kwa lolote lile.
He is an idiot. He thinks he knows Kenya.In Volleyball Wanja is a kikuyu, Rugby team has luhyas, luos ,kikuyus and kenyan europeans, Athletics hands down Kalenjins carry the trophy. One team, one country. Do not listen to these jealous people whose only achievement is burdening Kenya with beggars from their country and hawking.
 
Muziki Tanzania tupo juu.

Tanzania akina nani maana wewe mkabila bora ujibwe kikabila, muziki wa Tanzania umetawaliwa na Warundi wa Kigoma, halafu nyie Wachagga ndio hamfahamiki kwa chochote.
 
Tanzania akina nani maana wewe mkabila bora ujibwe kikabila, muziki wa Tanzania umetawaliwa na Warundi wa Kigoma, halafu nyie Wachagga ndio hamfahamiki kwa chochote.

Uchagga huo nimeutoa wapi? 😳 😳 . Ni kweli kabisa kuwa vipaji vinaendana na kabila husika. Hata Nigeria karibia wacheza soka wao wote ni Waigbo.
Halafu mimi siyo mkabila ila napenda uhalisia.
 
Wacha zako, lete orodha ya hiyo kikosi utapata waluhya wengi humo. Hata all best try scorer sio jaluo. Tukisema mbio mnasema wakalenjin, tukisema raga mnasema ooh wajaluo. Na volleyball mtasema nini?, hujaweka kandanda ya akina dada. Mbona kusitokee hata angalau kabila moja kutoka huko inawiri kwa lolote lile.
Walilishwa ujamaa wakajisahau na kuwa Kama kondoo bila mchungaji yani wako tu hakuna wanalolijua ila kuomba omba wanategemea Serikali iwafanyie kila kitu, wamekuwa Kama wa Mzansi Ila Ni maskini zaidi ya Mzansi kwa hivyo hata Vita haiwezi ndio maana Waafrika wanafikiri Watanzania Ni wapole Ila Ni Umasikini unawafanya wapole huku wamejaa majungu ndani kwa ndani...Ukikaa na Mtanzania Ni sawa na kukaa na Simba mnyonge mwenye njaa ambaye hata kuwinda kumemshinda lakini ndani anatamani vile atakurarua Ila anashindwa kwa unyonge na udhaifu wake. Kila siku utawapata hapa wakipiga kelele vile wataipiku Kenya lakini sote tunajionea vile gap inazidi kupanuka.
 
Back
Top Bottom