Kenya 7s maul Uganda to punch Tokyo 2020 Olympics ticket

Yeeeeeei Im late to this party!!! Congratulations shujaa!!!
 
He is an idiot. He thinks he knows Kenya.In Volleyball Wanja is a kikuyu, Rugby team has luhyas, luos ,kikuyus and kenyan europeans, Athletics hands down Kalenjins carry the trophy. One team, one country. Do not listen to these jealous people whose only achievement is burdening Kenya with beggars from their country and hawking.
 
Muziki Tanzania tupo juu.

Tanzania akina nani maana wewe mkabila bora ujibwe kikabila, muziki wa Tanzania umetawaliwa na Warundi wa Kigoma, halafu nyie Wachagga ndio hamfahamiki kwa chochote.
 
Tanzania akina nani maana wewe mkabila bora ujibwe kikabila, muziki wa Tanzania umetawaliwa na Warundi wa Kigoma, halafu nyie Wachagga ndio hamfahamiki kwa chochote.

Uchagga huo nimeutoa wapi? 😳 😳 . Ni kweli kabisa kuwa vipaji vinaendana na kabila husika. Hata Nigeria karibia wacheza soka wao wote ni Waigbo.
Halafu mimi siyo mkabila ila napenda uhalisia.
 
Walilishwa ujamaa wakajisahau na kuwa Kama kondoo bila mchungaji yani wako tu hakuna wanalolijua ila kuomba omba wanategemea Serikali iwafanyie kila kitu, wamekuwa Kama wa Mzansi Ila Ni maskini zaidi ya Mzansi kwa hivyo hata Vita haiwezi ndio maana Waafrika wanafikiri Watanzania Ni wapole Ila Ni Umasikini unawafanya wapole huku wamejaa majungu ndani kwa ndani...Ukikaa na Mtanzania Ni sawa na kukaa na Simba mnyonge mwenye njaa ambaye hata kuwinda kumemshinda lakini ndani anatamani vile atakurarua Ila anashindwa kwa unyonge na udhaifu wake. Kila siku utawapata hapa wakipiga kelele vile wataipiku Kenya lakini sote tunajionea vile gap inazidi kupanuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…