Kenya; 90% ya Barabara za Kenya hazina Lami

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Habari za Leo majirani. Nimekutana na hii ripoti inayosema kwamba barabara za Kenya zenye Lami urefu wake zote ni 12,950km pekee kwa nchi nzima, kati ya hizo ni 4,300km ndio angalau zipo katika hali nzuri.

Nimejiuliza sana, hawa wenzetu wanaosema kwamba Kenya imejenga barabara za lami zenye urefu wa 21,000 km, wanatoa wapi taarifa zao?.

Pia ripoti hii ambayo imetolewa na "Bodi ya barabara ya Kenya", inaonyesha bajeti wanayopewa ni kama nusu ya bajeti ya Tanzania ya barabara. Tafadhali tunaomba ufafanuzi ya hili.
 
Basi Tz ni 99.99% bila Shaka [emoji28]
Hahahahaha, zile barabara za lami zenye urefu wa 21,000Km mlizosema zipo wapi?
Nilitaka kushangaa, Failed state iweze kujenga barabara zote hizo?
 
Hahahahaha, zile barabara za lami zenye urefu wa 21,000Km mlizosema zipo wapi?
Nilitaka kushangaa, Failed state iweze kujenga barabara zote hizo?
Kuna mpumbavu kaanzisha uzi, hajui tunajumlisha moja moja, kila anapotaja[emoji23][emoji23][emoji23].

Akoma aweke picha za Scandinavia huko ili kuongeza notes.
 
teargas....hawa jamaa kumbe ile thread yako imewauma sana....bwahahaaa...hadi jamaa katafuta blog na kuileta km thibitisho....heheheer....ugueni pole pole tu...

ripoti ya KENHA na KERRA mmeshindwa kuipinga..bwahahaaa..

thread yako hii haiendi mahali...itakufa tu
 
(In its annual report, the board did not say how many kilometres they have done so far, but Transport Cabinet Secretary James Macharia was optimistic about the progress so far....)

hemu nitafsirie hayo maneno kw kiswahili....the report by PATRICK LANGAT...maskini
 
Jibu hoja kwa kutumia data sio Maneno, ni 12,950km nchi nzima ndio zenye lami, hiyo ni kutokana na ripoti ya bodi kama ilivyonukuliwa na "all Africa.com", kama ni uongo lete chanzo kingine kilichokanusha.

Hapo nimekuwekea gazeti likinukuu wabunge wakisema hakuna barabara zilizojengwa pamoja na ahadi za serikali. Tafadhali lete vyanzo tofauti kupinga haya niliyokuwekea.
 
Kenya barabara za lami ni 10k kilometres, unaweza kushangaa eti Kenya nchi ndogo inaingia mara 2 kwa Tanzania sio counties xote zimeunganishwa na lami iipite Tanzania kubwa mara mbili huku mikoa yote Tanzania ikiwa imeunganishwa na lami

Hii haingii akilini kabisa, Kenya wana mtandao wa lami sawa na mkoa mmoja tu Tanzania wa Dar au Tanga.
 
bwahahaaa..mmeshindwa kuipinga ripoti ya KENHA n KERRA mliopewa kw thread ya barabra...mmeanza kutokwa na povu...nenda vizuri...ukatafute hta barabara moja alizozileta kuntel yenye ambayo haijajengwa ukiniletea na log off jf...bwahahaha....

thread ya teargas imewaumiza...yani humu nipo for fun tu...na enjoy mnavyojiliwaza kw huruma....

kenya 21000km
tanzania 12000km..

wuhuhuuuu
 
Dah ule uzi kweli ndio umenifungua macho kumbe zile 17k kilometers nilizokua nawapa kumbe nilikua nawapendelea kinyama 😁😁😁 jamaa wanacheza ligi ya Zanzibar na Burundi
 
Sindano kali hii

Kenya: Over 90% of Roads Are Not Tarmacked, Report Shows
 
Hey Mkorino, we don't deal on blogs. Bring us the official statement from either KURA or KENHA. You can even post the article of the same by either Citizen TV, Ntv, K24, KTN, Standard, Daily Nation or any recognizable article because they won't fail to report anything dealing with Kenya. Hizi vitu umeleta are like Kahawa Tungu ya Robert Alai, Hivi Sasa and Tuko that are filled with rumours which they can't explain.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…