joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya: Over 90% of Roads Are Not Tarmacked, Report Shows
Less than six per cent of Kenyan roads are tarmacked, with only 4,300 of the total 12,950km of paved roads in good condition, statistics by the Kenya Roads Board has shown.
Habari za Leo majirani. Nimekutana na hii ripoti inayosema kwamba barabara za Kenya zenye Lami urefu wake zote ni 12,950km pekee kwa nchi nzima, kati ya hizo ni 4,300km ndio angalau zipo katika hali nzuri.
Nimejiuliza sana, hawa wenzetu wanaosema kwamba Kenya imejenga barabara za lami zenye urefu wa 21,000 km, wanatoa wapi taarifa zao?.
Pia ripoti hii ambayo imetolewa na "Bodi ya barabara ya Kenya", inaonyesha bajeti wanayopewa ni kama nusu ya bajeti ya Tanzania ya barabara. Tafadhali tunaomba ufafanuzi ya hili.