joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #61
Jengeni wenyewe kwa pesa yenu, kumalizia hapo hadi Kisumu mbashindwa?, Failed state kabisa ninyi.Nani huyu mkarimu hivi akatupa reli ya bure?
Ni Tanzania?
wajinga tu ndio wanaeza tumia picha za reli mbovu kuzitumia km progress katika reli yao nzuri...bwhahaa...nadhani werevu wameshanielewa...Hahahahaha, kwanza hii project ilishakufa na haipo tena, Muulize Tony 254 atakujibu vizuri. Kama nilivyotangulia kukuambia kwamba, ninyi wakenya uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana, kwa ujumla hamna akili, ndio sababu miradi yenu mingi unashinndwa kufikia malengo, mfano ni huu wa Galana, Green field terminal, SGR imeishia Naivasha, bomba la mafuta toka Lokachiar, electrification of SGR, ujenzi wa 5 stadia.
Huu mradi wa Galana Kulalu ilikusudia kutumia 1M acres kwa ajili ya kuzalisha chakula, hasa mahindi, sasa ulivyomjinga unajisifia kutumia Kshs 1trl, kuzalisha chakula kutoka kwenye acres milioni moja, hiyo ni akili kweli?. Gharama ya kuzalisha chakula toka katika eneo lenye ukubwa huo haipaswi kufikia $500M. Ndio sababu mumejengewa reli mbovu na wachina kwa gharama kubwa, hovyo kabisa ninyi.
failed state imejenga barabara 21000km wakati nynyi mko na 12000km...bwahahaaaJengeni wenyewe kwa pesa yenu, kumalizia hapo hadi Kisumu mbashindwa?, Failed state kabisa ninyi.
Hahahahaha, iweze kujenga barabara 21,000km ila ishindwe kujenga greenfield terminal ya $600M, ishindwe Galana kulalu Kshs 10B, ishindwe kumalizia reli hadi Kisumu. Hahahahaha, failed state at its bestfailed state imejenga barabara 21000km wakati nynyi mko na 12000km...bwahahaaa
That is exactly how failed state is, it collects more but it can't pay for its projects, all money is going to the few.failed state ina kra ina collect pesa ya miaka kadhaa ya tra...failed state iko na biggest port,failed state iko na bussiest airpot in the region...
nikuulize....nchi ya maziwa na asali imeishinda na nn failed state
bwahahaaa...failed state inalipa wafanyi kazi wake mshahara mzuri...una lingine tenaThat is exactly how failed state is, it collects more but it can't pay for its projects, all money is going to the few.
Hiyo ndio maana ya failed state, inalipa mishahara mizuri kwa wanasiasa na wafanyakazi ambao ni 2% ya watu wote, ikiwaacha 98% ya raia wote ndani ya Lindi la umasikini wa kutupwa wanaishi katika slums.bwahahaaa...failed state inalipa wafanyi kazi wake mshahara mzuri...una lingine tena
Hahahahaha, international organizations zipo city center, ulitoka kidogo unakutana na Kibera, watu wanakunya chumbani ndani ya mifuko ya plastics.failed state iko na middle class kubwa kuliko nchi ya asali...wah!yani hi ni irony walai...failed state ina host international organisations...failed state literacy level iko juu kushinda nchi ya asali na mziwa...
wuhuhuuu...lkn vile vile failed state iko na middle class kubwa kuliko nchi ya maziwa...nchi ya maziwa iko na aslimia 56 ya watu wake ni maskini wa kutupwa wakati failed state haijafikia hyo idadi yenuHiyo ndio maana ya failed state, inalipa mishahara mizuri kwa wanasiasa na wafanyakazi ambao ni 2% ya watu wote, ikiwaacha 98% ya raia wote ndani ya Lindi la umasikini wa kutupwa wanaishi katika slums.
failed state iko na 5% ya jiji la nairobi limekuwa covered na slums..zikiongozwa na kibera pekee kunyakuwa 1%..wakati nchi ya maziwa dream houses zimetapakaa kila kona ya nchi ..hadi kw kijiji cha wambea nako...bwahahaaaHahahahaha, international organizations zipo city center, ulitoka kidogo unakutana na Kibera, watu wanakunya chumbani ndani ya mifuko ya plastics.
Hiyo ndio maana ya failed state, inalipa mishahara mizuri kwa wanasiasa na wafanyakazi ambao ni 2% ya watu wote, ikiwaacha 98% ya raia wote ndani ya Lindi la umasikini wa kutupwa wanaishi katika slums.
Who is the chicken now? Wuhuhuhu, who is the chicken now? Wuhuhuhu.Hiyo ndio maana ya failed state, inalipa mishahara mizuri kwa wanasiasa na wafanyakazi ambao ni 2% ya watu wote, ikiwaacha 98% ya raia wote ndani ya Lindi la umasikini wa kutupwa wanaishi katika slums.
International organizations ziko;Hahahahaha, international organizations zipo city center, ulitoka kidogo unakutana na Kibera, watu wanakunya chumbani ndani ya mifuko ya plastics.
Who is the chicken now? Wuhuhuhu, who is the chicken now? Wuhuhuhu.
Tanzania is the country with most of her citizens lives in extreme poverty in East AfricaView attachment 1101110