Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Nadhani viongozi wa Tanzania wanacheza shere na maisha ya watanzania, wanataka waonekane wanafanya kazi ilhali wanawahadaa! Hapa msipochunga! Wajua Kenya kuna freedom of speech and right to information, ndio maana huku kwetu wakiiba, kunajulikana na kelele zinapigwa, hivi watu wengi wamaanza kuogopa. Juzi ule askari aliye mumiss handle dereva barabarani asha simamishwa kazi, haki hizi za msingi husaidia sana nchi kujielewa. E-government ni wazi kwamba mtu yeyote anapata taarifa zote za kiserikali! CCM naanza kuishuku!!