Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Wazee wa kujibaraguza! Unajua pale unapojifanya kimbelembele kujifananisha na Korea na Ujerumani wakati njaa inakuelemea lazma ushtuke maana ni chaka la mambwepande! Halafu still unajikuta maaambukizi juu zaidi ya majirani zako! Lazma utie akili!Wakuu,
Hivi liinchi hili ni la drama kweli. Juzi tuliambiwa kwamba wanaanza "mass testing" Leo wamesema hawafanyi tena. Yaani nchi inaendeshwa kwa hisia,mikwara na mikurupuko.
========
Ministry rules out mass testing in plan to curb Covid-19
Ads by
Stop seeing this adWhy this ad?
Not interested in this ad
Ad was inappropriate
Ad covered content
Seen this ad multiple times
We'll try not to show that ad again
Ad closed by
Why do Mass testing when target testing is better? Do Tanzania even do either of the test?
😆😆Try harder, anzisha threads zingine kumi, maybe we will forget
Ohooo!Wakuu,
Hivi liinchi hili ni la drama kweli. Juzi tuliambiwa kwamba wanaanza "mass testing" Leo wamesema hawafanyi tena. Yaani nchi inaendeshwa kwa hisia,mikwara na mikurupuko.
========
Ministry rules out mass testing in plan to curb Covid-19
Ads by
Stop seeing this adWhy this ad?
Not interested in this ad
Ad was inappropriate
Ad covered content
Seen this ad multiple times
We'll try not to show that ad again
Ad closed by
Haka kamtu kajinga 🤣🤣🤣🤣Ohooo!
Hapa huwezi muona MK254Wakuu,
Hivi liinchi hili ni la drama kweli. Juzi tuliambiwa kwamba wanaanza "mass testing" Leo wamesema hawafanyi tena. Yaani nchi inaendeshwa kwa hisia,mikwara na mikurupuko.
========
Ministry rules out mass testing in plan to curb Covid-19
Ads by
Stop seeing this adWhy this ad?
Not interested in this ad
Ad was inappropriate
Ad covered content
Seen this ad multiple times
We'll try not to show that ad again
Ad closed by
With all this bitterness I hope you are not among the new 87 cases.Ukunya ni tabia!
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
Targeted mass testing, which is even much better. Hawa watu ni vichaa, kufikia leo Kenya imepima sampuli karibia 7,400. Uwezo wa Kenya wa kupima sampuli mwezi machi ulikuwa 500/24hrs leo hii avarage ni 1,300 kwa siku. Hebu waulize kuhusu takwimu kama hizo uone watakavoanza longo longo zao. Uganda wanapima sampuli nyingi zaidi yao kwa siku, 500. Leo Tz wamepata wangonjwa wengine wapya 87 kwa sampuli zisizofikia hata 500 na bado wanaendelea tu usanii na ukaidi wao.Why do Mass testing when target testing is better? Do Tanzania even do either of the test?
This guys are real clowns, wafunge clubs, jus imagine the infection rate juu ya clubs kwanzaNaona bado mnaendeleza shughuli zenu za kuitumia Kenya kumsifia 'Kinjeketile Ngwale' hata baada ya usanii wenu kuangukia pua. Ndio maana mleta mada anaona aibu kuiweka taarifa hiyo yote hadharani wote waisome. Targeted mass testing ilishaanza, sampuli zinaokotwa kutoka kwa 'health workers' wote na wafanyakazi bandarini na sehemu ambazo zipo 'densely populated'. Nanukuu kutoka kwa taarifa kwenye hiyo link hapo. "All healthcare workers and
other first responders
directly interact with many
people,” Dr Mwangangi
said. The targeted mass
testing began early this week, with samples being
collected from KPA and
densely populated areas
like Kibera. The Ministry of Health’s
strategy is similar to USA’s
Centers for Disease
Control and Prevention
(CDC), which also
prioritised high-risk patients, specifically those
over 65 and those suffering
from other health
conditions - such as
diabetes - that make them
vulnerable."
Right now we are above 10,000 tests. For their testing capabilities, don't even bother yourself asking cause the type of dodging you will get is out of this planet.Targeted mass testing, which is even much better. Hawa watu ni vichaa, kufikia leo Kenya imepima sampuli karibia 7,400. Uwezo wa Kenya wa kupima sampuli mwezi machi ulikuwa 500/24hrs leo hii avarage ni 1,300 kwa siku. Hebu waulize kuhusu takwimu kama hizo uone watakavoanza longo longo zao. Uganda wanapima sampuli nyingi zaidi yao kwa siku 500. Leo wamepata wangonjwa wengine wapya 87 kwa sampuli zisizofika hata 500 na bado wanaendelea tu na ukaidi wao.
Their health minister us still encouraging them to continue gathering.This guys are real clowns, wafunge clubs, jus imagine the infection rate juu ya clubs kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu,
Hivi liinchi hili ni la drama kweli. Juzi tuliambiwa kwamba wanaanza "mass testing" Leo wamesema hawafanyi tena. Yaani nchi inaendeshwa kwa hisia,mikwara na mikurupuko.
========
Ministry rules out mass testing in plan to curb Covid-19
Ads by
Stop seeing this adWhy this ad?
Not interested in this ad
Ad was inappropriate
Ad covered content
Seen this ad multiple times
We'll try not to show that ad again
Ad closed by
Wakuu,
Hivi liinchi hili ni la drama kweli. Juzi tuliambiwa kwamba wanaanza "mass testing" Leo wamesema hawafanyi tena. Yaani nchi inaendeshwa kwa hisia,mikwara na mikurupuko.
========
Ministry rules out mass testing in plan to curb Covid-19
Ads by
Stop seeing this adWhy this ad?
Not interested in this ad
Ad was inappropriate
Ad covered content
Seen this ad multiple times
We'll try not to show that ad again
Ad closed by
Ukunya ni tabia!
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
Hapa huwezi muona MK254
Wakuu huku kwetu noma Sana JPM yuko mafichoni?Ohooo!
Yani huko kwao bar and clubs are still open??!!This guys are real clowns, wafunge clubs, jus imagine the infection rate juu ya clubs kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo link umeisoma hao wananchi ni kina nani na source ya huo uzi?Wakuu huku kwetu noma Sana JPM yuko mafichoni?
Wananchi wamvaa Raisi Magufuli, "Toka mafichoni Chato! Rudi ikulu ukaongoze nchi dhidi ya Corona, Usiwaachie Ummy na Majaliwa pekee" - JamiiForums
Kama anavyo mwoga Kwa wapinzani ndivyo alivyo na Kwenye corona pia huyu Mzee ni mwoga wa kila kitu ndiyo maana alivaa mavazi ya jeshi akijifanya kamanda kumbe ni sungusungu Tu....
Kwenye ishu ngumu kama Corona tukimpima raisi wetu dhidi ya Marais wengine wa Africa mashariki utaona jinsi magu alivyopwaya