Kenya abandons "Mass Testing"🤔

Kenya abandons "Mass Testing"🤔

Wakuu huku kwetu noma Sana JPM yuko mafichoni?
Wananchi wamvaa Raisi Magufuli, "Toka mafichoni Chato! Rudi ikulu ukaongoze nchi dhidi ya Corona, Usiwaachie Ummy na Majaliwa pekee" - JamiiForums
Kama anavyo mwoga Kwa wapinzani ndivyo alivyo na Kwenye corona pia huyu Mzee ni mwoga wa kila kitu ndiyo maana alivaa mavazi ya jeshi akijifanya kamanda kumbe ni sungusungu Tu....

Kwenye ishu ngumu kama Corona tukimpima raisi wetu dhidi ya Marais wengine wa Africa mashariki utaona jinsi magu alivyopwaya
Eti sungusungu 😂 😂 😂 😂
 
Mzee sina muda wa huu uboflo wako wa kunitaja taja na kunitag karibia mara 20 kwa siku. Naona hujakoma, hata baada ya mmoja wa unaowataja taja kufungua uzi humu akilalamika kwamba ulimtumia PM ya kumuomba tigo. Ninapenda punani sanaaa na nina phobia ya mahomo pia. Kwahivyo ushindwe kabisa na utokomee peponi!
...katika jina la Yesu 😂 😂 😂
 
Meanwhile Banana Republic of Tanzania Numbers are increasing Exponentially
 
Afrika itafanikiwa kutatua matatizo yake kulingana na mazingira yake.
 
Wakuu huku kwetu noma Sana JPM yuko mafichoni?
Wananchi wamvaa Raisi Magufuli, "Toka mafichoni Chato! Rudi ikulu ukaongoze nchi dhidi ya Corona, Usiwaachie Ummy na Majaliwa pekee" - JamiiForums
Kama anavyo mwoga Kwa wapinzani ndivyo alivyo na Kwenye corona pia huyu Mzee ni mwoga wa kila kitu ndiyo maana alivaa mavazi ya jeshi akijifanya kamanda kumbe ni sungusungu Tu....

Kwenye ishu ngumu kama Corona tukimpima raisi wetu dhidi ya Marais wengine wa Africa mashariki utaona jinsi magu alivyopwaya
Oh wakenya tutafanya "mass testing" sijui nini, unadhani ni mchezo sio?
 
Wewe usini-quote pita kule!
Lazima uwe quoted, mbona wewe kafanya hivyo kwa huu uzi na hakuna mwenye amenungunika?. Vipi yule mwenzako jiwe feki la joto?. Siku hizi alichoka kutujuza habari 'kemkem' za korona!..🤣🤣
 
Hapa huwezi muona MK254
Soma nakala yote kabla kubwabwaja, serikali haijatelekeza mass-testing, bado ipo ila watafanya kama wafanyavyo CDC kule Marekani, kwamba badala ya kupima mlango kwa mlango watawapa kipau mbele wale wenye matatizo mengine ya kiafya ambao Corona ikiwakuta ni kiama moja kwa moja.
Hii naiunga mikono, haina haja wapoteze muda mwingi kwangu mimi kabla hawajamfikia jirani ambaye labda anafahamika kuwa na kisukari na mengine, maana corona ukiigundua mapema inadhibitika.
 
Targeted mass testing, which is even much better. Hawa watu ni vichaa, kufikia leo Kenya imepima sampuli karibia 7,400. Uwezo wa Kenya wa kupima sampuli mwezi machi ulikuwa 500/24hrs leo hii avarage ni 1,300 kwa siku. Hebu waulize kuhusu takwimu kama hizo uone watakavoanza longo longo zao. Uganda wanapima sampuli nyingi zaidi yao kwa siku, 500. Leo Tz wamepata wangonjwa wengine wapya 87 kwa sampuli zisizofikia hata 500 na bado wanaendelea tu usanii na ukaidi wao.
Kenya tumefikisha 14,000 Leo,
Plus Uganda Leo walipima 1,124 tests,
Jana ilikuwa 1,400
 
Mzee sina muda wa huu uboflo wako wa kunitaja taja na kunitag karibia mara 20 kwa siku. Naona hujakoma, hata baada ya mmoja wa unaowataja taja kufungua uzi humu akilalamika kwamba ulimtumia PM ya kumuomba tigo. Ninapenda punani sanaaa na nina phobia ya mahomo pia. Kwahivyo ushindwe kabisa na utokomee peponi!
Bana. He's forcing himself on people with stupid tags

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom