Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Eti sungusungu 😂 😂 😂 😂Wakuu huku kwetu noma Sana JPM yuko mafichoni?
Wananchi wamvaa Raisi Magufuli, "Toka mafichoni Chato! Rudi ikulu ukaongoze nchi dhidi ya Corona, Usiwaachie Ummy na Majaliwa pekee" - JamiiForums
Kama anavyo mwoga Kwa wapinzani ndivyo alivyo na Kwenye corona pia huyu Mzee ni mwoga wa kila kitu ndiyo maana alivaa mavazi ya jeshi akijifanya kamanda kumbe ni sungusungu Tu....
Kwenye ishu ngumu kama Corona tukimpima raisi wetu dhidi ya Marais wengine wa Africa mashariki utaona jinsi magu alivyopwaya