Kenya abandons plan to electrify its SGR citing high costs and irregular power supply

Huku nilipo maji ni shida sana, kwa wiki yanatoka mara moja, chakula pia ni shida, kuna njaa sana, watu wanakufa kwa njaa, kama maji ya kunywa ni mgao, nitapata wapi maji ya kuoga?, kama chakula ni shida, nitakula nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Buda andika novel.....unajua sai Ethiopia wanashindwa na railway yao
 
Nikiweka ushindani pembeni, nadhani Kenya wamefanya maamuzi mazuri ya kuweka pembeni huu mradi, na wanaweza kuokowa fedha nyingi tuu kama wakibaki na treni za diesel. kwasababu hakuna uthubitisho wowote kama wakiwa na treni ya umeme kwasasa itawaongezea mapato au ufanisi wa SGR.

Tanzania tokea mwanzo tulikuwa na mpango wa treni ya umeme. Mimi nilianza kusikia mambo ya treni ya umeme tokea muhula wa kwanza ya Mkapa. Na yote hii kwasababu Tanzania tulijiamini kuwa na uwezo wa kuzalisha umeme mwingi wa kutosha kama tukikamilisha mikakati yote. Mpango ulio mezani hivi sasa, ni kufikia MW elfu kumi (10,000) mwaka 2025.

Kenya wanaweza kuurudua huu mradi kama kuna demand na uwezo wa uzalishaji umeme wa kutosha. Kwanza wanaweza hata kutafuta kisima kimoja cha mafuta na kuzalisha "fuel oil" yao ya kuendesha SGR tu.
 
Right on point, hebu waza Ethiopia yenye umeme mwingi treni yao inachelewa masaa saba ikisubiri umeme urejeshwe, sasa Bongo ambayo umeme ni wa mgao, wao utakuta treni zinachelewa hata wiki.
 
Right on point, hebu waza Ethiopia yenye umeme mwingi treni yao inachelewa masaa saba ikisubiri umeme urejeshwe, sasa Bongo ambayo umeme ni wa mgao, wao utakuta treni zinachelewa hata wiki.
LOOOOL eti wiki ila mmezidi dharau na nyie.
Umeme huku wa uhakika nina miezi mingapi sijui umeme haujakatika na ukikatika mnapewa taarifa mapemaaaa.
Kuna miradi mingi inategemewa kuanza. Kinyerezi phase 2 iko 80% complete.
 
He he he safi sana hatuwezi kufanana East Africa yote lazima wawepo matajiri na masikini he he he

Tanzania will be the only East African nation to have bullet train kama nawaona vile wa Kenya wakija kushangaa bullet train sababu hawatakaa wawe nayo hii ndo kofuli ya milele na Uganda walishasema hawawezi kujenga diesel propelled engines ni lazima wajenge electric trains so hiyo ni automatically Tanzania we will take Ugandas everything from pipeline to SGR, MAGUFULI Hoyeee
 
There had been earlier concerns on how the Uganda and Kenya SGR lines will connect when one is electric and the other is diesel but the Uganda SGR Project Coordinator Kasingye Kyamugambi says the two countries have in the interim worked out an interchange model at the Uganda-Kenya border for the two systems to connect seamlessly as we wait for Kenya to electrify.

He welcomed the re-affirmation by Kenya to electrify SGR by 2021 adding that the two countries have continued to work closely to harmonise different aspects of the Proect as envisioned in the NCIP – SGR protocol

kama kenya waliihakikishia Uganda kwamba baada ya miaka mitatu SGR itakuwa electrified, sasa itakuaje?
 
Right on point, hebu waza Ethiopia yenye umeme mwingi treni yao inachelewa masaa saba ikisubiri umeme urejeshwe, sasa Bongo ambayo umeme ni wa mgao, wao utakuta treni zinachelewa hata wiki.
Kwanza ni mwezi sasa Tanzania umeme ulisharudi kwenye hali ya kawaida baada ya megawatts 50 za kinyerezi expansion kuingia national grid kisha matatizo ya Ethiopia na Tanzania hayafanani lazima kuna technical issues hapo na hii ni karibia projects zote za China barani Africa zinakua na mushkeli sana. Bora MAGUFULI kawapa Portugal and Turkey
 
portugal na turkey huwezi linganisha na chinese....ethiopia waliopt for class two rail...nyinyi mkaopt AREMA(CLASS 3) ..CHEAP IS EXPENSIVE....SASA MKIONGEZA 50 MW THATS A DROP IN THE OCEON BUDA
 
portugal na turkey huwezi linganisha na chinese....ethiopia waliopt for class two rail...nyinyi mkaopt AREMA(CLASS 3) ..CHEAP IS EXPENSIVE....SASA MKIONGEZA 50 MW THATS A DROP IN THE OCEON BUDA
Ooohahaha Ethiopia to Djibouti ni 120kph my friend wakati yetu kuanzia Makutupora kwenda Mwanza na Kigali itakua 180kph sasa hiyo class ni ya kazi gani?

Halafu hizo 50 megawatts ni ongoing basis kila baada ya muda wanaongeza megawatts kwenye national grid kadiri expansion ya kinyerezi inavyoendelea main target ni more than 3000 megawatts, sijaongelea available megawatts na stiegliers megawatts
 
portugal na turkey huwezi linganisha na chinese....ethiopia waliopt for class two rail...nyinyi mkaopt AREMA(CLASS 3) ..CHEAP IS EXPENSIVE....SASA MKIONGEZA 50 MW THATS A DROP IN THE OCEON BUDA
50 MW ni expansion of phase 1. Phase 2 (240MW) is coming online pia kwa awamu na itakuwa fully online by end of this year.
 
portugal na turkey huwezi linganisha na chinese....ethiopia waliopt for class two rail...nyinyi mkaopt AREMA(CLASS 3) ..CHEAP IS EXPENSIVE....SASA MKIONGEZA 50 MW THATS A DROP IN THE OCEON BUDA
hehehe,eti yao ni class 3...ata heri waethiopia bana hawa ndio itakwama wiki😀
 
ni 160 but not as safe as class one and class 2...goodluck lakini najua ile kicheko tutawacheka itakua ya mwaka
 
Yah after reading that report on Ethiopian rail I see the logic in going diesel..... Just the other day we had a national blackout which lasted upto 7hours, these are the things we need to sort out first
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…