Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku nilipo maji ni shida sana, kwa wiki yanatoka mara moja, chakula pia ni shida, kuna njaa sana, watu wanakufa kwa njaa, kama maji ya kunywa ni mgao, nitapata wapi maji ya kuoga?, kama chakula ni shida, nitakula nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti stupid people stupid nation. Hehehe 😀😀😀. Unaongea utadhani ndo umetoka S.A au hata Egypt. Sasa unataka tuwe na electric train kisa eti tz? Unadhani tz na Kenya ndo nchi mbili pekee yake Africa nzima au hata duniani? Kuna maisha kando na haya unayoishi hapa jf Kenya forums na vita vya Ke. vs Tz. Hivi we jamaa huwa unaoga na kufanya shughuli zingine nyeti saa ngapi? Maanake unakesha hapa zaidi ya hata moderators. Utakuwa unachapia uvundo zaidi kama wa nungunungu aliyegongwa na trela.
Buda andika novel.....unajua sai Ethiopia wanashindwa na railway yaoTatizo ninyi wakenya vichwa vyenu vimejaa nyuki, leo mnasema hili, kesho mnazungumza lingine, hamjui mnalotaka hapa duniani. Mliamua kujenga diesel railway, ghafla mliposikia Tanzania inajenga eectric one, huyu Maina akapata pressure kubwa ya wakenya, akawadanganya kwamba ataweka electricity within three years, leo anasema hakuna need ya electric train kwa sasa, hovyo kabisa ninyi.
Ninakuhakikishia Tanzania ikianza kutumia train za umeme na zikawavutia wakenya wakaanza tena kuweka pressure kwa Government, huyuhuyu Maina atarudi tena na kusema tutaweka umeme kwenye reli yetu, na wakenya watamuelewa tena.
Railway inakwama 7 hours njiani ...yani tangu kulaunch haijawai kua stable ...thanks Uhuru kuona mbeleWamekuambia?
tungoje hii bullet train ya wabongo😀Railway inakwama 7 hours njiani ...yani tangu kulaunch haijawai kua stable ...thanks Uhuru kuona mbele
Tatizo la kenya hata si umeme, tatizo ni unreliable electric grid... Unakuta transfoner ama sub station inaharibika rahisi .... We first need a truly smart grid and we also need a completely new national 21st century grid... An overhaul will set us back about $2B, or else even the nuclear plant would not be viable..
Reli ya Ethiopia imekwama njiani for 7 hours ikingoja stima zirudi, mind you ethiopia has more power than EAC combined
LOOOOL eti wiki ila mmezidi dharau na nyie.Right on point, hebu waza Ethiopia yenye umeme mwingi treni yao inachelewa masaa saba ikisubiri umeme urejeshwe, sasa Bongo ambayo umeme ni wa mgao, wao utakuta treni zinachelewa hata wiki.
Kwanza ni mwezi sasa Tanzania umeme ulisharudi kwenye hali ya kawaida baada ya megawatts 50 za kinyerezi expansion kuingia national grid kisha matatizo ya Ethiopia na Tanzania hayafanani lazima kuna technical issues hapo na hii ni karibia projects zote za China barani Africa zinakua na mushkeli sana. Bora MAGUFULI kawapa Portugal and TurkeyRight on point, hebu waza Ethiopia yenye umeme mwingi treni yao inachelewa masaa saba ikisubiri umeme urejeshwe, sasa Bongo ambayo umeme ni wa mgao, wao utakuta treni zinachelewa hata wiki.
portugal na turkey huwezi linganisha na chinese....ethiopia waliopt for class two rail...nyinyi mkaopt AREMA(CLASS 3) ..CHEAP IS EXPENSIVE....SASA MKIONGEZA 50 MW THATS A DROP IN THE OCEON BUDAKwanza ni mwezi sasa Tanzania umeme ulisharudi kwenye hali ya kawaida baada ya megawatts 50 za kinyerezi expansion kuingia national grid kisha matatizo ya Ethiopia na Tanzania hayafanani lazima kuna technical issues hapo na hii ni karibia projects zote za China barani Africa zinakua na mushkeli sana. Bora MAGUFULI kawapa Portugal and Turkey
Ooohahaha Ethiopia to Djibouti ni 120kph my friend wakati yetu kuanzia Makutupora kwenda Mwanza na Kigali itakua 180kph sasa hiyo class ni ya kazi gani?portugal na turkey huwezi linganisha na chinese....ethiopia waliopt for class two rail...nyinyi mkaopt AREMA(CLASS 3) ..CHEAP IS EXPENSIVE....SASA MKIONGEZA 50 MW THATS A DROP IN THE OCEON BUDA
50 MW ni expansion of phase 1. Phase 2 (240MW) is coming online pia kwa awamu na itakuwa fully online by end of this year.portugal na turkey huwezi linganisha na chinese....ethiopia waliopt for class two rail...nyinyi mkaopt AREMA(CLASS 3) ..CHEAP IS EXPENSIVE....SASA MKIONGEZA 50 MW THATS A DROP IN THE OCEON BUDA
hehehe,eti yao ni class 3...ata heri waethiopia bana hawa ndio itakwama wiki😀portugal na turkey huwezi linganisha na chinese....ethiopia waliopt for class two rail...nyinyi mkaopt AREMA(CLASS 3) ..CHEAP IS EXPENSIVE....SASA MKIONGEZA 50 MW THATS A DROP IN THE OCEON BUDA
u need about 10000 mw before 2020 for an efficient electrified sgr50 MW ni expansion of phase 1. Phase 2 (240MW) is coming online pia kwa awamu na itakuwa fully online by end of this year.
ni 160 but not as safe as class one and class 2...goodluck lakini najua ile kicheko tutawacheka itakua ya mwakaOoohahaha Ethiopia to Djibouti ni 120kph my friend wakati yetu kuanzia Makutupora kwenda Mwanza na Kigali itakua 180kph sasa hiyo class ni ya kazi gani?
Halafu hizo 50 megawatts ni ongoing basis kila baada ya muda wanaongeza megawatts kwenye national grid kadiri expansion ya kinyerezi inavyoendelea main target ni more than 3000 megawatts, sijaongelea available megawatts na stiegliers megawatts
Yah after reading that report on Ethiopian rail I see the logic in going diesel..... Just the other day we had a national blackout which lasted upto 7hours, these are the things we need to sort out firstTatizo la kenya hata si umeme, tatizo ni unreliable electric grid... Unakuta transfoner ama sub station inaharibika rahisi .... We first need a truly smart grid and we also need a completely new national 21st century grid... An overhaul will set us back about $2B, or else even the nuclear plant would not be viable..
Reli ya Ethiopia imekwama njiani for 7 hours ikingoja stima zirudi, mind you ethiopia has more power than EAC combined
Yaani Tanzania itahitaji megawatts zisizopungua 200 tu kuendesha SGR kitu ambacho kinyerezi pekee mwaka huu inaingiza kwenye national grid zaidi ya megawatts 500u need about 10000 mw before 2020 for an efficient electrified sgr