Kenya abandons plan to electrify its SGR citing high costs and irregular power supply

duh,unwatoa povuuu kweli maana hawa ni hamna hamnaπŸ˜€
 
Bongo umeme utakuwepo wa kutosha, source na grid ya ku-power SGR itakua ring-fenced na haitaingiliana na umeme wa matumizi ya nyumbani na viwandani.

Kawaida umeme unaohitajika kwa electric train unategemeana na aina ya train na tecknology inayotumika.

Huwezi ukakokotoa consumption ya umeme linearly, kuna parameters za ku-consider kama vifaa vya kuhifadhi umeme ktk train zenyewe kama vile capacitors, flywheel an accumulators bila kusahau efficiency yake.

Ukiweka hayo pembeni, ku-estimate matumizi ni kati ya 3 - 4 kWhr/km/100 tonne.
 
Hivyo vitu vya umeme au giza kwenye coaches ni issue ndogo sana. wata solve soon, wait n see.
Siku ya tatu baada ya kenya kulaunch service ya mizigo kwa SGR yakena ripoti kutoka kua ilikua hakuna mizigo ya kutosha, watanzania mlijaza server za JF mkishobokea vile SGR imekosa mizigo mkiita tembo mweupe , leo hii mnatuambia its okay if you still have power blackouts two years after launch..
 
Mzee baba hapa utaongea sana ni bora utulize mshono tu! Tumekwambia huku kwetu kutakuwa na grid maalum kwa ajili ya umeme wa kiendeshea sgr hii! Hofu yako ni nini kwa mfano!

Ni dhahili ukiona mapungufu ya Ethiopia utagundua kuwa kuna vitu hawakuvitilia maanani ndo maana changamoto ni nyingi! Kwanza suala la train kugonga mifugo na kusimama ili wajadili na wenye mifugo nalo linatia ikakasi!

So tuliza mshono utuache sisi tuendelee
 
sasa bongolala are more smart than Ethiopians..πŸ˜€
 
walirukaruka humu kama wachawi kisa hamna mizigo ya kutosha,sasa I think its picking upπŸ™„
 
Tusign mkataba wa kuwauzia wakenya umeme wa kuendeshea matreni yao basi maana no way hizo 2000MW tutaziconsume wenyewe demand yetu bado ni ndogo mno!
Nashauri tu-consume wenyewe na wao jirani wameze mate tu. Hata ukiwauzia umeme watusema tu.
 
Na kuhusu Kenya waMarekani hao hao wamewahi kusema nini? Unakumbuka? Unatutukania tusi la Mzungu anayetukana watu weusi wote kila mara bila kujali huyu wa nchi hii na huyu wa nchi nyingine. Wao hujumuisha tu kama majuzi. Hatuchekani! Sisi tuongee ya kwetu hapa basi.
 
Chezea JPM wewe? Nchi inapaa.
 
sasa bongolala are more smart than Ethiopians..πŸ˜€


wewe ndo pambaf kabisa. hujui ya kuwa any challenges that rise in Ethiopian SGR we take it as ours if were not taken care during the planning stage.
 
Huku kwetu hayo mambo ya Treni kugonga Mbuzi hakuna.

Mbuzi ndio anagonga Treni hivyo ikitokea ajali ya treni na Mbuzi mmiliki wa mbuzi ndio atatoka mbio maana atatakiwa kulipa uharibifu wa treni.

Japo yetu itakuwa na Uzio njia nzima.
 
Nashauri tu-consume wenyewe na wao jirani wameze mate tu. Hata ukiwauzia umeme watusema tu.
unajua kenya SGR ya umeme haikuwa ktk mipango yao bali walidandia kuvaa kiatu kisicho size yao sasa wameona wakifue maana kinawabana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…