Kenya acheni Ujinga, Kenya ni third World Country!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Kenya acheni huu ujinga wa kujilinganisha na USA, Kenya ni poor third World Country wakati USA ni rich first World Country, hivyo kama USA wanaruhusu maandamano ni kwamba wanaweza kumudu lkn Kenya haiwezi kumudu huu ujinga!

Amkeni mnaingia shimoni, nchi haijengwi kwa chaos hata siku moja eti
,,we have the right to demonstrate” hayo ni mambo ya Kizungu bhana hii ni third World watu wako Kibera hawajakula tangu jana hlf unawafungulia kuingia shopping center ukitegemea waandamane kwa Amani na kurudi nyumbani kwa Amani?

Msichukuwe kila kitu cha Muzungu 1-1, kuna vya kuiga kama Elimu yao, work ethics, monogamy, n.k. lkn siyo ujinga wao wa sijui ,,black life matters” wanaweza kumudu chaos, Afrika is too poor for that, ...
 
Hiyo ndo imebaki akilini mwako tu? I can see how poor minded you are, kama demokrasia hatuiwez ni kwanini tuliamua kuwa nayo.


Demokrasia ina mipaka hata kwa Muzungu ni hivyo, kwamba kuna vitu wanaruhusu kulingana na uwezo na hali yao, lkn Afrika hatuwezi kuiga hilo!

Angalia mfano maandamano ya Kenya tayari yanaathiri Utalii ambao Wakenya wengi wanautegemea ili waishi, sasa hiyo ni demokrasia au ujinga?
 
Demokrasia ni pana kuliko unavohitaji iwe, huwez kusema hii ni demokrasia ya afrika, hii ni demokrasia ya ulaya.
Yes, iko na mipaka yake, lakini mnataka hii demokrasia ya afrika iwe inamnufaisha tu mugabe, magufuli, kagame, nkurunzinza nk. Shame
 
Demokrasia ni pana kuliko unavohitaji iwe, huwez kusema hii ni demokrasia ya afrika, hii ni demokrasia ya ulaya.
Yes, iko na mipaka yake, lakini mnataka hii demokrasia ya afrika iwe inamnufaisha tu mugabe, magufuli, kagame, nkurunzinza nk. Shame


Ngoja nikuulize, ulishasikia Watalii wameahirisha kwenda USA kwa sababu ya Maandamano? Sasa Kenya tayari nchi zinatoa travel warning kwa raia wao kwa sababu ya Maandamano, sasa nani atafidia hiyo hasara ya Kiuchumi?
 
Nakubaliana na wewe kwa mara ya kwanza.....haya maandamano ya kisiasa hamna siku yatakua ya amani, na sidhani waandalizi wa haya maandamano wana aim yakue ya amani kuna agenda flani wanataka kulazimisha....ukitoa vijana hawana kazi kwenye slums kisha uwamwage kwenye jiji ati wafanye maandamano ya amani ni kutarajia mengi.....madaktari na wauguzi wameandamana mwaka huu wote bila ya fujo,kupora na kukabiliana na polisi.....kama haya maandamano ni lazma basi yatengewe mahali maalum ampapo hawatainterfere na maisha ya watu....ni haki yao kuandamana ila ikumbukwe pia wana biashara wana haki zao.your freedom stops when mine starts
 
Another psychohant idiot
 
Ngoja waje sasa hivi utasikia, we are capitalist country! East Africa power house! Economic giant! Inferior complex! We speak English better!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›

Ajabu wanajisadia kwenye flying toilet na reli za Kibera.
 
Ngoja waje sasa hivi utasikia, we are capitalist country! East Africa power house! Economic giant! Inferior complex! We speak English better!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›

Ajabu wanajisadia kwenye flying toilet na reli za Kibera.
ajabu ni kwamba kila ulichosema hapo ni ukweli...Kenya is indeed EA largest economy... Tanzania=LDC
 
Wajiulize kilichotokea Hispania hasa jimbo lileee
Mambo yakuiga nayo shida
Hata wao hawawezi ruhusu ujinga kama huo
 
Tuambieni kilicho mleta Tundu Lissu nchini Kenya.


Kutibiwa kwenye Nairobi Whiteman's Only Hospital, hawaamini Hospitali zinaoendeshwa na Waafrika, ni sawa na Raila Odinga kukimbilia kushitaki kwa Muzungu london badala ya kukaa Kenya kutatua matatizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…