Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Huu uzi unasehemu mbili na zote ni muhimu. Sehemu moja ni kwa jinsi gani waafrika tuko so desperate kuonyesha ulimwengu kama na sisi ni binadamu na tunauwezo wa kufanya mambo kama vile mataifa yaliyo endelea yanafanya.
Sehemu nyingine ni kwamba hatuna uwezo au muda wa kufanya kama vile nchi zilizo endelwa zinafanya. Tukumbuke kwamba wenzetu walio endekea wanauwezo wa kujilisha na kujihudumia hata kama wasipofanya kazi kwa zaidi ya mwaka moja au miwili. Nchi kama Kenya au Tanzania zinaweza kufanya hivyo lakini kwa miezi MINNE TUU (4 month), baada ya hapo tuaanza kukatana wenywe nyama na kuzipika na kula.
Hatuwezi ku copy kila aina ya denokrasia inayoletwa kutoka nje, inabidi na sisi tutengeneze denokrasia yetu inayotosha uwezo wetu na hapo-hapo haki za kila raia zinalindwa. Mfano mzuri ni Gambia, wao wamekuja na denokrasia ambayo ni Made In Africa.