Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 283
Taarifa kutoka Marekani zinaeleza kuwa Wizara ya
Ulinzi ya Marekani itaipatia Kenya ndege nane ndogo
zisizohitaji rubani, ikiwa ni sehemu ya msaada wa
kijeshi kwa nchi za Afrika Mashariki, ili kuzisaidia
kupambana na wapiganaji wa Kiislamu wa Somalia,
al-Shabaab. Gazeti la Wall Street Journal la Marekani limearifu
kuwa Kenya itapata ndege hizo ambazo hazitakuwa
na silaha, lakini zinaweza kugundua maeneo
yanayofaa kulengwa na ndege au majeshi ya ardhini. Gazeti hilo limesema ndege zisizokuwa na rubani ni
sehemu ya msaada wa Marekani, pamoja na malori,
zana za mawasiliano, na silaha kwa Burundi, Djibouti
na Uganda.