once again some Tanzanian psycophants think they know what is best for Kenya military. All KDF procurement are advised on current and possible future threats and so far all new toys satisfy this logic. Back to the drone noise, besides the lightweight American Raven drone, Kenya has been shopping for the Israeli made Heron Drone (more capable UAS vehicle). when you talk of capabilities..it all narrows down to resources and military tactics or doctrines exploited by respective forces. When Kenya gets gunships....some low lifes screams their ass out, when we get drones...the same, when Kenya opts to up her airforce the same nonsense. Inferiority complex is a disorder, get checked up guys. And in any case, the hand thrown raven drone is mostly used in real time combat as an extra set of eyes and not deep search recon purposes a reserve of heron drones and the likes of predator drones. anyway this is what the raven drone is used for:
1) to identify enemy movement while in combat operation
2) prevent likelyhood of friendly fire through cordinate assault from different fronts esp in close contact ambushes eg surronding a small metropolis. (be advised to create the somali picture to understand better).
4) they are also cheap to service and operate
This maneno ati they are used to track Kony is gibberish nonsense....much capable drones with higher lift such as heron/predator drones were devised for such purposes, [RECON & MAPPING].
Lastly, stay out of KDF inventories and concentrate in modifying JWTZ doctrines to a sensible and a more modern outfit. Swam/mass deployments are so into the 80's plus your forces aint as many anyway.
Livefire habari kwanza, kama ukisoma vizuri nimesema hivyo vi-drone vinasaidia kuangalia majeshi au terrorist wako wapi [recon/scouting] kama unavyo sema. Sasa tatizo liko wapi? Kwani nani kasema humu kwamba drone hizo ni kama Predator zinazo beba mabomu ya hellfire! Au nani kasema vi-drone hivyo ni tishio kwa nchi za Africa Mashariki au kufikili Tanzania inaweza kutishwa na vijindege ambavyo vinaweza kuwa-brought down by a mere
stone age anti aircraft guns; nani kasema KAF/KDF aina haki ya ku-modernise jeshi lenu!
Wewe unazungumzia mambo ya capabilities za heron/predator hivi unaweza kweli kulinganisha Raven drones ambazo unaweza kuzinyanyua kwa mkono na hazibebi air to ground missile wala bomb la aina yoyote ile! Nimeona umekuja juu hapa kuhusu comment yangu juu ya drones zilizo pelekwa Uganda! Labda nikuhulize swali, Je wewe ni
a five star General wa jeshi la
Uncle
SAM mpaka ukajua kwa uhakika kwamba drones zilizo pelekwa Uganda haziusiki katika utafutaji majeshi ya
KONY; kwa nini upendi watu wengine watoe maoni yao? Kuna mwana JF aliuliza kuhusu drones zilizo tolewa na Merikani kwa jeshi la Uganda mimi nikatoa maoni yangu, sasa imekuwa nongwa TENA!
Mleta post hii alikuwa na maana gani kuileta humu jamvini-kuna mahali amesema eti "
KDF sasa itakuwa
TISHIO kwa nchi
jirani" - je huyu mtu anajua anacho zumgumza humu - who is afraid of
a paper TIGER? eti
"stay out of KDF inventories!!" nani kawaulizeni inventories la jeshi lenu? Kukosa kwenu kutafakali mambo mnaeleza kila kitu kilicho jikoni mwenu vingine vya kubuni tu! Hivi kweli kuna Mtanzania yeyote ambaye amewahi kuwa concern na jeshi lenu au kujali silaha zenu au kutangaza silaha za
TANZANIA zinazo tumiwa na majeshi yetu au kujitapa kwamba tumenunua silaha fulani majirani zetu sasa
watatukoma? Usifikili Jane's Defence books vina Intelligence na Analysis ya kweli kuhusu silaha na uwezo wa majeshi yote hapa duniani, wanayo andika humo ni script za maigizo ya
HOLLYWOOD.
We unajuwa wapi doctrine za jeshi letu, unaleta mambo ya kubuni na propagada za nchi za magharibi; unaleta utani na
a battle hardened jeshi (JWTZ) - nyie mumewahi kupigana wapi? mnatolewa kamasi na a rag tag al-shabaab alafu msivyo na aibu mnaomba nchi za jirani ziwasaidie kupigana a proxy
WAR! - Livefire si unasema jeshi lenu ni moto wa kuotea mbali mbona mlikosa ubavu wa kujaribu jeshi la Uganda mlipo kuwa mnagombea kisiwa katika ziwa Victoria, mgefanya kosa kuwachokoza Uganda mkidhani eti
"wangetumia swam/mass deployment tactics" na sijuhi term hii umeipata wapi? sina shaka umeisoma kwenye vitabu vilivyo andikwa kutoka nchi za magharibi kuhusu jeshi la
UCHINA kwenye miaka ya 1940s/50, ila unacho sahau ni kwamba jeshi hilo lilitwanga Merikani katika vita vya
KOREAmpaka wakashika adabu, bila umoja wa mataifa kuingilia kati sijuhi kungetokea nini? - Jibu unalo.
Livefire, mshukuru sana busara za Rais Kibaki ni binadamu anaye tafakali mambo kwa kina na hana papala! Hana majigambo na majivuno yasio na tija kama baadhi yenu walivyo - kama angefanya kosa na kuwachokoza Waganda saa hizi mgekuwa wakimbizi Sudan ya Kusini au Tanzania -
Nimeyasema haya kukumbusha kwamba usiwe na tabia ya KUDHALAU majeshi ya jirani zako kwa kuwapachika majina ya kishenzi.
Mwisho labda nikukumbushe kwamba ukitaka kujuwa umahili wa jeshi la TANZANIA nenda kawaulize ma
General wa jeshi la
makaburu kuhusu vita vya Angola: Menu ilikuwa kama ifuatavyo:-
1
) Fighter Pilots- Cubans/ Tanzanians na Angolans - marubani wa makaburu walichanganyikiwa walikuwa hawajuhi ndege za MiG23 na MiG21 zilikuwa zinahibuka kutoka wapi, hakuna cha wingman au angalia 12,3,6,9 O'Clock au radar viliweza kufua dafu. Mark you muda umekwisha pita tangu vita hiyo ipiganwe na vilikuwa vita vya kisayansi.
(2)
Infantry ambayo ili-involve vifaru, magari ya deraya na artillery wahusika wakuu walikuwa ni - Cubans, Tanzanians, Angolans na nchi marafiki; makaburu na Savimbi walivua viatu na kukimbia miguu pekupeku wakiogapa milio ya
Stalin ORGANS wakasahau
G-55 zao.
(3) Manning Air Defence System - Tanzanians/Cubans/Angola.
Ninacho eleza hapa ni too brief, nikiogezea vita vya Msumbiji majeshi ya
RENAMO yaliyokuwa yanasaidiwa na makaburu na
Kenya ilikuwa inaunga mkono
RENAMO lakini jeshi letu liliwashinda huko Msumbiji, kuna sakata la Seycells ambalo makaburu walivamia kisiwa hicho wakitaka Macham arudi madarakani kutoka aliko kuwa amekimbilia uhamishoni
Kenya, walipo sikia majeshi ya Tanzania yanakuja mbona makaburu walifunga virago wakaondoka bila kuhaga! Eh, Livefire bado unafikili jeshi la TANZANIA linatumia
a stone age tactics - mimi nakupa ushauri wa bure siku moja nenda pale ARUSHA wakati wa Bunge la EA limekaa, basi omba kukutana na mtoto wa the late J.Nyerere walao akupe somo kuhusu
Artillery Engineering nione kama utaendelea na kejeli zako za kusema eti JWTZ
"wanatumia swam/mass deployment tactics" kwenye medani za VITA.
What a HARAKIRI statement!!!!