[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nairobi is a huge metropolis
Nairobi this nairobi that lol . that thing is like jhb in the 60s it needs to catch up to jhb of today that has everything ,stadiums ,indoor arenas ,shopping malls ,free ways ,surburbs etc .if that nairobi was in SA it was gon b the 4th city not what ya are making it to be
Sio jozi tena?sasa mkiambiwa mnajifanya wajuaji na nnauhakika ata Durban inaweza watesa vibaya mno..Durban na Nai zinatoshana. Hapa tulikuwa tukilinganiaha Nairobi na,Joburg, àmbayo kwa kweli ni kubwa maradufu kwa Nairobi.
Nani amewahi kusema Nai inashinda Jozi?Sio jozi tena?sasa mkiambiwa mnajifanya wajuaji na nnauhakika ata Durban inaweza watesa vibaya mno..
Picha chache alizotuma yule jamaa zimeshatoa indicator kwamba Durban sio mchezo...ukute hawana slum mtahemea wapi sasaNani amewahi kusema Nai inashinda Jozi?
Nope, it is the other way round, Nai inatesa Durban vibaya.
Picha chache alizotuma yule jamaa zimeshatoa indicator kwamba Durban sio mchezo...ukute hawana slum mtahemea wapi sasa
Nimeishi Nairobi na kuzunguka baadhi ya miji ya Kenya na Nilibahatika kusoma SA katika mji wa Durban, huwezi fananisha upuuzi wa mji wowote wa Kenya na Durban, labda kama hawajui hilo jiji lina idadi ya watu zaidi ya milion 8 na hakuna trafik jam za kijinga kama Nairobi yenye million 6 lakin bado jam Ni sheeda hata baada ya kutengeneza vi flyover vyao. Halafu nyumba za Nairobi na miji yote ya Kenya Ni mbaya hazina mvuto sababu ya poor finishing na vinyumba vyao vinajengwa na mawe ya kuchonga. Nyumba na majengo ya tz yanavutia.kuna mpuuzi mmoja alianza kupost picha eti za eldoret ili alijinganishe na miji ya SA.
tangu jamaa wa SA alivyo anza ku-post picha zake,yule mpuuzi wa picha za eldoret hajarudi tena.amekimbia moja kwa moja.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeishi Nairobi na kuzunguka baadhi ya miji ya Kenya na Nilibahatika kusoma SA katika mji wa Durban, huwezi fananisha upuuzi wa mji wowote wa Kenya na Durban, labda kama hawajui hilo jiji lina idadi ya watu zaidi ya milion 8 na hakuna trafik jam za kijinga kama Nairobi yenye million 6 lakin bado jam Ni sheeda hata baada ya kutengeneza vi flyover vyao. Halafu nyumba za Nairobi na miji yote ya Kenya Ni mbaya hazina mvuto sababu ya poor finishing na vinyumba vyao vinajengwa na mawe ya kuchonga. Nyumba na majengo ya tz yanavutia.
Kwa vile wewe ni Tomaso Nitumie namba zako nikutumie WHATSAPP maana kwenye hizo picha kuna sura yangu sio vizuri kuuza humu,Leta evidence, picha za Durban vs Nairobi pamoja na idadi ya watu.
Kwa vile wewe ni Tomaso Nitumie namba zako nikutumie WHATSAPP maana kwenye hizo picha kuna sura yangu sio vizuri kuuza humu,
Kwa vile wewe ni Tomaso Nitumie namba zako nikutumie WHATSAPP maana kwenye hizo picha kuna sura yangu sio vizuri kuuza humu,
Wacha nikusaidie kuzoom ju ukona shida ya macho
Acha ujinga kama hujafika Durban wala cape town, ukifika hutofananisha hizo slums zenu na miji kama ile, nakueleza sababu Nairobi naijua na hiyo miji ya SA naijua achana na picha maana hazielezi yote. halafu sijui nani huwa anawadanganya nakumbuka hata kipindi nakaa hapa kahawa wendani kuna jamaa mmoja aliwahi sema Nairobi nikubwa kuliko Durban nilicheka sana sasa na wewe unarudia kama mnazungumzia ukubwa wa kibera hapo sawa.Kwani usiri wa nini, si upost tu hizo picha hapa?
Mimi niko na picha pamoja na info za Durban.
1)Nairobi is as big and modern as Durban and Capetown, that I can tell u very confidently.
Only Joburg ndio inaipiga chini.
Nairobi
Nairobi Photos (kenya): A Beautiful East African City - Travel (173) - Nigeria
Durban
Durban - South Africa's Playground - SkyscraperCity
Sitaki kuwa mnafiki mie Ni mtanzania huwa nacheka tu ninapoona vijana wa kitanzania mkibishana, Nairobi ni mji mkubwa kwa Africa mashariki kwa sasa imeizidi dar kwa miundo mbinu mpango miji na hata idadi ya watu, ila dar Ni mji unaokuja kwa kasi sana kwani idadi ya ghorofa kuanzia 15 kwenda juu dar imeizidi Nairobi na hata jengo refu kwa sasa EA liko dar. Ubishi mwingine hauna tija tuwe wakweliAcha ujinga kama hujafika Durban wala cape town, ukifika hutofananisha hizo slums zenu na miji kama ile, nakueleza sababu Nairobi naijua na hiyo miji ya SA naijua achana na picha maana hazielezi yote. halafu sijui nani huwa anawadanganya nakumbuka hata kipindi nakaa hapa kahawa wendani kuna jamaa mmoja aliwahi sema Nairobi nikubwa kuliko Durban nilicheka sana sasa na wewe unarudia kama mnazungumzia ukubwa wa kibera hapo sawa.
Jengo refu hahahaha Leta prove hapa.Sitaki kuwa mnafiki mie Ni mtanzania huwa nacheka tu ninapoona vijana wa kitanzania mkibishana, Nairobi ni mji mkubwa kwa Africa mashariki kwa sasa imeizidi dar kwa miundo mbinu mpango miji na hata idadi ya watu, ila dar Ni mji unaokuja kwa kasi sana kwani idadi ya ghorofa kuanzia 15 kwenda juu dar imeizidi Nairobi na hata jengo refu kwa sasa EA liko dar. Ubishi mwingine hauna tija tuwe wakweli
We hujawai toka tzNimeishi Nairobi na kuzunguka baadhi ya miji ya Kenya na Nilibahatika kusoma SA katika mji wa Durban, huwezi fananisha upuuzi wa mji wowote wa Kenya na Durban, labda kama hawajui hilo jiji lina idadi ya watu zaidi ya milion 8 na hakuna trafik jam za kijinga kama Nairobi yenye million 6 lakin bado jam Ni sheeda hata baada ya kutengeneza vi flyover vyao. Halafu nyumba za Nairobi na miji yote ya Kenya Ni mbaya hazina mvuto sababu ya poor finishing na vinyumba vyao vinajengwa na mawe ya kuchonga. Nyumba na majengo ya tz yanavutia.
Enda ukalambe t-time haga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]