Kenya – Africa’s infrastructure powerhouse

Ving'ang'anizi hatari....lakini bora Leo nimeshafaham kwann hao jamaa ni upper middle income, miji yao kwakweli ipo vizur mno...


Na pia unaelewa ni kwanini Kenya ni lower middle income na Tanzania...bado wako paleee.
 
Utajaza server bure ukweli unaujua pang'ang'a
😀😀😀😀😀
usituambukize u-Ldc.
madini yote muko nayo na bado munalala. hata s.a wako na gold na madini zengine. we umeona Kenya iko na madini gani?
 
Kenya Kenya tz Ni pua na mdomo lakini Kenya na SA Ni maruti na autobiography range rover
Kenya ni Maruti, Tanzania nini?

Nyinyi mnang'ang'ania sana kutetea SA kuliko huyo mSA mwenyewe kana kwamba hata anawajali. Juzi tu si walikuwa wakiwapiga na kuwafurusha huko kwao?

Ati ndio sasa kudhalilisha wakenya?

Kama anachukia Kenya ambayo anajua vyema ndio nchi inayoongoza kanda hili, Tanzania sasa analichukuliaje?

Kenya tunakubali SA wametushinda kimaendeleo.
Na nyinyi je? Mnawashinda? Mnatushinda?
 
two-face tuusan na flower girl kaduda,, pitieni hapa... kutoka kwa main post
"While many African countries are investing heavily in infrastructure, few if any are in the same league as Kenya"
hii ndio imefanya ile slave ya s.a kuja hapa mbio... na aliposkia tuko mbioni kujenga super tall The Pinnacle Tower, dwarfing the old unstylish carlton tower.
namba mutazidi kusoma
 
porojo tu hizo.[emoji23] [emoji23]
 
porojo tu hizo.[emoji23] [emoji23]
huyu mungu wako wa sauz hana any... naeza kumzaba nyingi za uso hadi akatoroka. nilianza kudeal nao toka be4 wakati wa Oboma social network na Bba. awa watu wako petty petty
 
Dar-is-Slum...
and that is like the only road running thru those "unplanned settlements" to town.

How was it like b4 they upgraded that road (which we hear it took 12 yrs to complete!)
It was 4 lanes ,brt took 4 to 5 yrs period,what else yu wish to kno? Mmaza
 
OK tumemaliza mjadala sasa naomba tufungue thread ya dar vs Lagos . hao wa 254 tumewaweka kapuni[emoji39][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…