Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Hawa watu tuwatimue kwenye coalition ya East Africa wanatia aibuView attachment 1128830
Kwenye Picha uyo kijana mweusi eti in under 13 ila huyo baba hakosi 28
Shame on you kenya
vile DC mnakufa njaa,bora tubaki huku.Mbona una macho lakini umekataa kutumia ubongo.
Huyo mnayesema ni Mkenya, amevaa bendera ya Netherlands mkononi.
Pia, hio jersey yake iko na sponsor ambaye sio kampuni ya Kenya.
Tanzania mtabaki LDC kama wenzako wana akili ndogo kama wewe.
Hawa watu tuwatimue kwenye coalition ya East Africa wanatia aibuView attachment 1128830
Kwenye Picha uyo kijana mweusi eti in under 13 ila huyo baba hakosi 28
Shame on you kenya