Kenya Airways, "aim to connect a continent."πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Richard Quest kamuuliza jamaa maswali hadi kashikwa na kigugumizi.

Kumbe CEO wa Kenya Airways alisha fail kwenye airlines alizotoka. Wamechukua kilaza kuongoza hilo shirikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

New markets alizotaja zote zina airlines zake. Maswali ya Richard Quest unagundua kuwa plan ya KQ ni failure tena kubwa sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

My Take: KQ to JFK is another big lossπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mumefuatilia ujio wa huyu Richard Quest Kenya kuliko hata Wakenya wenywe, hamna interview inawapita, kweli mnateseka......na bado itawauma mpaka basi.
 
Mumefuatilia ujio wa huyu Richard Quest Kenya kuliko hata Wakenya wenywe, hamna interview inawapita, kweli mnateseka......na bado itawauma mpaka basi.
Kuna hii ametengeneza kwenye Pot Holes za Nairobi. Naisubuli sanaπŸ˜‚πŸ˜‚Tony Kuria pia anafatilia kwa hamu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tangu jamaa aje haulali, hajaondoka bado hivyo unayo nafasi ya kuja kumshangaa......
Jombaa, ukirejea kwenye uzi wa kwanza kuhusu ujio wa huyu mwanahabari wa CNN, Richard Quest huku Kenya utangundua kwamba huyu mleta mada na wenzake wengi hawakuwa wanamfahamu hata kidogo. Nilishangazwa sana na hilo, kwamba watu ambao huwa tunajadili nao humu kuhusu masuala ya kibiashara, hawakuwa wanajua kuhusu show yake ya 'Quest means Business'. Leo hii wao ndio wamekuwa wataalamu. Aisee, kuna wajuaji wengi sana humu kazi kukariri tu wakati ni wazi kwamba ni ma'cavemen' wa kutupwa. [emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uwivu itakumaliza. Kq has been going to US tangu kitambo, the only difference is, this time it is going direct. Hizo tuktuk zenyu zinafika rwanda na kampala for the 1st time are not comparable to kq. Mjilinganishe na modern coast coach sio Kq. Pambaneni na hali yenyu.
 

Hili nilishalisema mara nyingi, wengi wa hawa jamaa hukesha JF Kenyan forums wanajifunza mengi, angalia mada zao zamani wakati wanaanza ulinganishe na leo, unakuta wengi walikuja wakiwa vilaza sana, hata huyu Mkongoman Kiswahili na Kingereza zilikua zinampa shida sana, kukesha kwake huku naona siku hizi anaweza kutunga sentensi zinazoeleweka.

Hehehe tatizo hawalipi fadhila...kunao hujifanya Kenyan haters like tumewasaidia sana kujiboresha.
 
Tuliambiwa Drimulaina inatembelea route za daladala.
 
Unauwakika Richard Quest nilikuwa simfahamu?? Hivi ulielewa swali langu nilipo uliza,"kwani Richard Quest ni nani?? " i just meant what significance does he hold in this world him to be seen that he is so important!!.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sikunyingine usipoelewa ulizaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
So you think I don't know Richard Quest.??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Thus why I always say the Kenyan thinking capacity is too dark like there skin colour. I owned a DSTV before you were thinking to come to town from villageπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ I have used all generations of DSTV decoders starting from the first one to the latest.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Namjua Richard Quest kuliko wewe unavyo jua uwezo wako wakufikili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unauwakika Richard Quest nilikuwa simfahamu?? Hivi ulielewa swali langu nilipo uliza,"kwani Richard Quest ni nani?? " i just meant what significance does he hold in this world him to be seen that he is so important!!.
Haya ndio yalikuwa maneno yako ya kwanza baada ya kuingia kwenye uzi ambao watu walikuwa wakijadili kuhusu Richard Quest na KQ, 'huyu ndio monkey yupi tena?' Hata ukikana au urudi nyuma ufute comment yenyewe sio ishu. It might seem like a joke, but I here never forget what I register clearly after seeing it with my two eyes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…