Richard Quest kamuuliza jamaa maswali hadi kashikwa na kigugumizi.
Kumbe CEO wa Kenya Airways alisha fail kwenye airlines alizotoka. Wamechukua kilaza kuongoza hilo shirikaπππ
New markets alizotaja zote zina airlines zake. Maswali ya Richard Quest unagundua kuwa plan ya KQ ni failure tena kubwa sana. πππ
My Take: KQ to JFK is another big lossπππ