Kenya Airways Cancels New York Flights As Demand Dips

😂😂 Inshu
 
#Kenya.
Kuweni wazalendo Jamani tunajenga nchi kwa pamoja.
Tumuunge Dr Joseph Magufuli.
#Soon dege lingine kubwa linashuka hapa Tanzania.
#Make Tanzania Great again.
 
Kenya wamechanganikiwa baada yakuona Tanzania na Uganda wana nunua ndege..
 
hehehehehe hata hela za education world bank wametunyima.. tubaki bila education wamesema... i thought we had enough money??? ama cashew nuts pesa isha meza zote
Ulitegemea unazaa lakini watoto wako wasomeshwe na WB?, jihadhari wasikusaidie kutunza hadi mkeo.
 
Heading na contents are not aligned
 
That’s is part of teething problems, even a new pair of shoes can give you discomfort in the first few days.
Mbona za Magu mnaziponda na wala huwa hamsemi maneno kama haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…