Mpuuzi kabisa.Yaani wewe badala ya kujipenda ulivyo unapenda cha jirani.Penda Chako mtanzaniaWe ni mtz, acha wivu uchumi mmeukalia lakini hata Boing moja ya atc hamna bora kenya wajitangaze labda nasi watz twaweza pata harufu ya waridi. Atc wanatumia ndege aina ya atr ni aibu kubwa kw nchi kubwa kama tz. Usinune fanya kazi nawe upate hata Concord.
tushanunua DREAMLINERHongereni Wakenya kwa mafanikio makubwa katika shirika lenu la Ndege, sie hatuna ndege hata moja na wala hakuna mpango wa kununua hata moja kesho au kesho kutwa. Mafisadi wanakomba utajiri wa nchi huku nchi ikibaki hohe hahe. Kule kwenye mabilioni ya Uswiss wameficha $329 million juzi juzi wamekwapua tena $122 million kupitia Escrow pesa hizi zingetosha kutupatia angalau Dreamliner moja.
mkuu tumenunua sasa!We ni mtz, acha wivu uchumi mmeukalia lakini hata Boing moja ya atc hamna bora kenya wajitangaze labda nasi watz twaweza pata harufu ya waridi. Atc wanatumia ndege aina ya atr ni aibu kubwa kw nchi kubwa kama tz. Usinune fanya kazi nawe upate hata Concord.
Dreamliner KQ niliwahi kuipanda 2016 JKIA (NBO) - LHR raha kumoyo. Kioo unaweka tinted mwenyewe! Rahaaa!!Hiyo Dreamliner ya KQ ni tamu ajabu yaani ni bomba mbaya, bado mpyaaa mpaka raha. Naona rubani ni mzungu sijui hawaamini kuwapa wakikuyu wenzao!!
Sisi Dreamliner moja tu,siku nzima watu waliambiwa wasifanye kazi wakaipokee Dreamlinerhivi nyie wakenya mbona mnapenda misifa ETHIOPIAN AIRLINE anazo hizo DREAMLINER zaidi ya 5 toka mwaka 2011 na hajitangazi, nyie leo ndo mmefikisha 3 basi kila sehemu DREAMLINER DREAMLINER!
Sisi Dreamliner moja tu,siku nzima watu waliambiwa wasifanye kazi wakaipokee Dreamlinerhivi nyie wakenya mbona mnapenda misifa ETHIOPIAN AIRLINE anazo hizo DREAMLINER zaidi ya 5 toka mwaka 2011 na hajitangazi, nyie leo ndo mmefikisha 3 basi kila sehemu DREAMLINER DREAMLINER!
Mkuu vipi msimamo wako wa sasa kuhusu shirika letu la ndege???Hongereni Wakenya kwa mafanikio makubwa katika shirika lenu la Ndege, sie hatuna ndege hata moja na wala hakuna mpango wa kununua hata moja kesho au kesho kutwa. Mafisadi wanakomba utajiri wa nchi huku nchi ikibaki hohe hahe. Kule kwenye mabilioni ya Uswiss wameficha $329 million juzi juzi wamekwapua tena $122 million kupitia Escrow pesa hizi zingetosha kutupatia angalau Dreamliner moja.
Unnecessary commenthivi nyie wakenya mbona mnapenda misifa ETHIOPIAN AIRLINE anazo hizo DREAMLINER zaidi ya 5 toka mwaka 2011 na hajitangazi, nyie leo ndo mmefikisha 3 basi kila sehemu DREAMLINER DREAMLINER!