Kenya Airways Dreamliner no.3 imetua Kenya

We ni mtz, acha wivu uchumi mmeukalia lakini hata Boing moja ya atc hamna bora kenya wajitangaze labda nasi watz twaweza pata harufu ya waridi. Atc wanatumia ndege aina ya atr ni aibu kubwa kw nchi kubwa kama tz. Usinune fanya kazi nawe upate hata Concord.
Mpuuzi kabisa.Yaani wewe badala ya kujipenda ulivyo unapenda cha jirani.Penda Chako mtanzania
 
Hongereni Wakenya kwa mafanikio makubwa katika shirika lenu la Ndege, sie hatuna ndege hata moja na wala hakuna mpango wa kununua hata moja kesho au kesho kutwa. Mafisadi wanakomba utajiri wa nchi huku nchi ikibaki hohe hahe. Kule kwenye mabilioni ya Uswiss wameficha $329 million juzi juzi wamekwapua tena $122 million kupitia Escrow pesa hizi zingetosha kutupatia angalau Dreamliner moja.
tushanunua DREAMLINER
 
We ni mtz, acha wivu uchumi mmeukalia lakini hata Boing moja ya atc hamna bora kenya wajitangaze labda nasi watz twaweza pata harufu ya waridi. Atc wanatumia ndege aina ya atr ni aibu kubwa kw nchi kubwa kama tz. Usinune fanya kazi nawe upate hata Concord.
mkuu tumenunua sasa!
 
Hiyo Dreamliner ya KQ ni tamu ajabu yaani ni bomba mbaya, bado mpyaaa mpaka raha. Naona rubani ni mzungu sijui hawaamini kuwapa wakikuyu wenzao!!
Dreamliner KQ niliwahi kuipanda 2016 JKIA (NBO) - LHR raha kumoyo. Kioo unaweka tinted mwenyewe! Rahaaa!!
 
hivi nyie wakenya mbona mnapenda misifa ETHIOPIAN AIRLINE anazo hizo DREAMLINER zaidi ya 5 toka mwaka 2011 na hajitangazi, nyie leo ndo mmefikisha 3 basi kila sehemu DREAMLINER DREAMLINER!
Sisi Dreamliner moja tu,siku nzima watu waliambiwa wasifanye kazi wakaipokee Dreamliner
 
hivi nyie wakenya mbona mnapenda misifa ETHIOPIAN AIRLINE anazo hizo DREAMLINER zaidi ya 5 toka mwaka 2011 na hajitangazi, nyie leo ndo mmefikisha 3 basi kila sehemu DREAMLINER DREAMLINER!
Sisi Dreamliner moja tu,siku nzima watu waliambiwa wasifanye kazi wakaipokee Dreamliner
 
Hongereni Wakenya kwa mafanikio makubwa katika shirika lenu la Ndege, sie hatuna ndege hata moja na wala hakuna mpango wa kununua hata moja kesho au kesho kutwa. Mafisadi wanakomba utajiri wa nchi huku nchi ikibaki hohe hahe. Kule kwenye mabilioni ya Uswiss wameficha $329 million juzi juzi wamekwapua tena $122 million kupitia Escrow pesa hizi zingetosha kutupatia angalau Dreamliner moja.
Mkuu vipi msimamo wako wa sasa kuhusu shirika letu la ndege???

Nasikia siku hizi hupendi kabisa Serikali kununua Ndege maana hazitusaidii wananchi wa kipato cha chini...!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi nyie wakenya mbona mnapenda misifa ETHIOPIAN AIRLINE anazo hizo DREAMLINER zaidi ya 5 toka mwaka 2011 na hajitangazi, nyie leo ndo mmefikisha 3 basi kila sehemu DREAMLINER DREAMLINER!
Unnecessary comment
 
Back
Top Bottom