Ile slogan yao KQ 'the pride of Africa ' ni bure kabisa. Nakumbuka flight moja ya KQ ilichukua masaa saba kabla hawajawapatia abiria mlo wa aina yoyote ndani ya ndege ikiwa 32,000 ft angani.
Hivyo Skytrax ranking yao wameipendelea kidogo KQ. Maana kuna madudu mengi hili shirika la ndege wanakwaza abiria.
Endelea kutunga hadithi za vijiweni. Very poor and untruthful composition. Jaribu tena.