Kenya Airways drops in global aviation ranking


Endelea kutunga hadithi za vijiweni. Very poor and untruthful composition. Jaribu tena.
 
Endelea kutunga hadithi za vijiweni. Very poor and untruthful composition. Jaribu tena.

Kuna hii nyingine, baada ya masaa mengi kusubiri mlo, abiria jirani yangu anagaiwa chakula kilichoambatana na kamkate kadogo ka kawaida kuangalia vizuri anagundua panya ameshawahi kumega engo moja ya mkate, cabin crew anaitwa na kuoneshwa alama za mmego wa panya, samahani nyingi inatolewa kwa niaba ya KQ lawama nyingi kwa catering company.

Shuhuda zingine za madudu ya KQ hizi hapa source: Skytrax https://www.airlinequality.com/airline-reviews/kenya-airways/page/1/?sortby=post_date😀esc&pagesize=202#anchor664163
 
Imagine there are 195 Countries in the World na KQ imeshinda 115 countries, ATCL ni number 195[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha, kwahiyo KQ yenye miaka 50 katika biashara imeacha kujilinganisha na ET na SAA badala yake inajilinganisha na ATCL yenye miaka 2?. Hahahahaha, hovyo kabisa ninyi.

ATCL isingeweza kuwekwa katika list, kwasababu haijaanza International routes, next year mtakua nyuma ya Uganda Airways, Failed state ninyi. Uganda wana ndege 2, KQ ndege 3, ATCL 8, Hahahahaha.
 
Endelea kutunga hadithi za vijiweni. Very poor and untruthful composition. Jaribu tena.

Punguza ushabiki, ni Kweli KQ wamekuwa wanafanya cancellation sana nowdays, yaani ukiwa na flight ya Asubuhi kuna 50% chances ukapelekwa jioni au Jioni ukasafirishwa Asubuhi, nasemea kwa flights za Dar - Nairobi ambazo ni more likely monopoly.
Nimeanza kusafiri na KQ since 2013 walikuwa very systematic, This year nimesafiri nao mara 3, kati ya hizi mara 2 nimebadilishiwa ndege.
KQ iko mismanaged sana nowadays.
 
😂😂😂😂😂😂😂
 

ANYTIME CANCELATION LIMITED. By the way you Midanganyikans don't have an airline you have one blue Wheeler
 

Acha uwongo wewe hujapanda hata bus ya kwenda mkoani. Wewe ni mtu wa supu ya Pweza Dar is a slum
 
ndege ni mitumba hata wahudumu wanaonekana kama mitumba 😁
 
Unajua hizi flights za KQ baina ya NRB na Dsm au Kilimanjaro hawa jamaa wana mbinu chafu za makusudi kulikwaza soko la utalii Tanzania na vile naona wa-Tanzania wanaanza ku-share experience mbaya ya service za KQ labda watajirekebisha kuhusu hizi regional flights ukanda wa Afrika Mashariki.
 
Mi ile siku walivyo over book pale Amsterdam. Mpaka kesho sijawaelewa wali maanisha nini na kwa nini ilitokea? Uzuri nilikuwa sina tighter schedule, vinginevyo ingekula kwangu.
 

Uzuri na Wadanganyika kumi tu wanaosafiri, Wengine wachache ni wale drug traffickers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…